Khaaaa! umenifuataaaaa......... hili jukwa toto kwangu, mieeeee jukwaaa lileeeeeee ndooo kukae.... teh
jukwaa hili sawa kwa kuchukulia uzoefu then wahamia mtaa wa pili
ehh naona mpo semina apa....minapita tu
haswaaaaaaaaaaaa!!! ndo nia yanguuuuu. teh teh
Nishaaanzaaaaaa sema nakumbushiaaa.... teh
Kweli nimeaminiiiiiiiiiiii.....mmmmh! haya mwaya.. teh teh
aaiiiiiiiiiii... mmmmmmmmmhhh nini?????????
Nilimiss mahala hapa teh teh teh... Romance sina topic mie napita tu kusalimia.. hivi mods bado huamisha uzi wa kizushi?????? teh teh teh