Nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani

LUMBAKALA

Senior Member
Dec 29, 2010
148
20
Yap wandugu wapendwa habari kwa ujumla.Mi niko poa yani mzuri kwa sana.Nilipotea sasa nimerudi baada ya kuibiwa simu yangu ambayo niliitegemea kwa mambo ya internet na halafu nikawa shamba huko kijiji ndiyo maana sasa nimerudi tena baada ya kushindwa kuwa ndani ya mtandao kwa muda mrefu.Nimekumbuka nyumbani ndiyo maana nimerudi naomba mnipokee magreat thinkers wote na uongozi mzima wa jamii forum tupo pamoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom