Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

Hivi, hili jukwaa ni la malalamiko na pongezi za humu ndani tu ama na kutoka njje pia?
 
Naona kajirekebisha nwdays, nimepita pale jana mchana nilichangamkiwa na haikuchukua dk 5 nikaletewa nilichoagiza...
 
J.D. amejitahidi sana mpaka hapo alipo,ni swala la kumpa moyo tu kwa sisi hapa tulio kwenye nchi iliyoolewa na ufisadi kupata mafanikio.ila tu anahitaji ushauri kidooogo kwenye swala hilo la huduma na mapishi.unapocheleweshewa chakula ujue hapo wahudumu na wapishi wanapiga dili la kung"oa meza.naona inakua ngumu sababu J.D na KAPITENI wanakua hapo ndo mana unachelewa kupata oda yako.:bored::bored:
 
sijaenda bado hapo nyumbani lounge ,ila kwa huduma mliotaja,sitoenda hivi karibuni,
anachotakiwa ni kuweka wenye uzoefu ktk secta ya huduma hii .
 
Hayo matatizo hayana tiba, ndio madhara ya kutoa mimba nyingi walipokuwa secondary school, halafu by the way nadhani anakaribia kufikisha miaka 50, so swala la kupata mimba ni next to impossible.

wewe na mwenzio ni wapuuz, umekuwa Mungu wewe? wacha kuongea ujinga, utakutawala maisha yako, mada iliyoko mezan ni kuhusu msosi, get back 2topic wewe
 
Aajiri meneja wa kuendesha mahali pale ambaye atakuwa ni professional na kuwa strict kuwasimamia sawa sawa wahudumu na wafanyakazi wengine.
 
wewe na mwenzio ni wapuuz, umekuwa Mungu wewe? wacha kuongea ujinga, utakutawala maisha yako, mada iliyoko mezan ni kuhusu msosi, get back 2topic wewe

Wewe ndio mpuuzi unaedhani kisayansi mwanamke aliyetoa mimba nyingi akiwa shuleni, basi anaweza kupata mimba akiwa na miaka 50.
 
Mimi nimeenda jana kwa mara ya kwanza na ya mwisho kutokana na huduma mbovu tuliyopata pamoja na kucheleweshewa chakula. Chakula chenyewe kikaja sicho ambacho tuliagiza.. She still has a longway to go!
 
Jaydee,if you are reading this......malalamiko ni mengi juu ya restaulant yako.Muda mwengine yanaweza tu uwa kasumba zetu watanzania kukandia chochote cha mwenzetu na muda mwengine huu ndio ukweli,sasa comment/posts nyingi ni malalamiko anza reflect on the side that ..."you have a long way to go" start making ammendements watu wanakuja hapo na ndio wateja usiruhusu waande wasirudi,...make them come back....

Nakupa ushauri,...."nenda pale ALBASHA the REBANESE restaulant iba wale wahudumu wawili yule mnene mfupi na yule mwembamba mrefu maji ya kunde hao jamaa ni wazuri mno,yaani hao jamaa ndio sababu ya watu wengi kwenda hapo.
Ukiweza iba hata yule manager dada wa kihindi,ila usibadiri watu wako wa jikoni maana msosi wako ni mzuri na juice imeenda shule
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Jaydee,if you are reading this......malalamiko ni mengi juu ya restaulant yako.Muda mwengine yanaweza tu uwa kasumba zetu watanzania kukandia chochote cha mwenzetu na muda mwengine huu ndio ukweli,sasa comment/posts nyingi ni malalamiko anza reflect on the side that ..."you have a long way to go" start making ammendements watu wanakuja hapo na ndio wateja usiruhusu waande wasirudi,...make them come back....

Nakupa ushauri,...."nenda pale ALBASHA the REBANESE restaulant iba wale wahudumu wawili yule mnene mfupi na yule mwembamba mrefu maji ya kunde hao jamaa ni wazuri mno,yaani hao jamaa ndio sababu ya mimi kuwapo hapo kila siku asubui kwa ajiri ya kifungua kinywa.
Ukiweza iba hata yule manager dada wa kihindi,ila usibadiri watu wako wa jikoni maana msosi wako ni mzuri na juice imeenda shule

Aende Al-basha Restaurant ipi ya MAYFAIR au ya INDIRA GHANDI STREET???
 
Nyuma ya Extelecoms house(maggot) zamani,yeah mtaa wa forodhani secondary na INDIRA GHANDI.
 
Hayo matatizo hayana tiba, ndio madhara ya kutoa mimba nyingi walipokuwa secondary school, halafu by the way nadhani anakaribia kufikisha miaka 50, so swala la kupata mimba ni next to impossible.

that's unfair ulikuwepo wakati anazitoa? au ulimtoa ww? au ulimsindikiza kuzitoa mpaka ukajua idadi hiyo? thread inaongelea mambo mengine kabisa ya kumsaidia mwenzetu ww unakuja na issue cjui za wapi inahuuu?
 
Back
Top Bottom