Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

Sanda Matuta

JF-Expert Member
May 9, 2007
949
134
Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya yenye kutia moyo kwa mabint wengine na hata watu wajinsia nyingine.
Lakini,pamoja na yeye kama yeye kufikia mafanikio hayo sehemu yake ya chakula hiyo Nyumbani Lodge naona imepata au inapata umaarufu tu kwa kumpitia Jaydee na sio kama sehemu nzuri na yenye hudumu nzuri.
Kwa huduma ,hamna huduma nzuri kabisa...yaani unaweza kukaa hapo baada ya kuagiza chakula zaidi ya saa nzima au mbili bila hatakuletewa chakula chenyewe na kila ukiuliza unaambiwa subiri,ukichoka kusubiri utaamua kuhairisha ulicho agiza kwa sababu ya kuchoka kusubiri huko na hata 'huto-ombwa'samahani ila wahudumu watendelea kujipitisha tu mbele kukufanya kama umeenda hapo kupewa chakula cha charity.
Ushauri wangu Dada jaydee nenda katafute wahudumu professionals wanao jua kazi yao na kuithamini vinginevyo utapoteza wateja na biashara kwa sababu ya ujinga ya hao wahudumu uchwara.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Jaydee hana lodge minayoitwa nyumbani mazee

au ulienda lodge gani mazee?
 
Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya yenye kutia moyo kwa mabint wengine na hata watu wajinsia nyingine.
Lakini,pamoja na yeye kama yeye kufikia mafanikio hayo sehemu yake ya chakula hiyo Nyumbani Lodge naona imepata au inapata umaarufu tu kwa kumpitia Jaydee na sio kama sehemu nzuri na yenye hudumu nzuri.
Kwa huduma ,hamna huduma nzuri kabisa...yaani unaweza kukaa hapo baada ya kuagiza chakula zaidi ya saa nzima au mbili bila hatakuletewa chakula chenyewe na kila ukiuliza unaambiwa subiri,ukichoka kusubiri utaamua kuhairisha ulicho agiza kwa sababu ya kuchoka kusubiri huko na hata hutombwa samahani ila wahudumu watendelea kujipitisha tu mbele kukufanya kama umeenda hapo kupewa chakula cha charity.
Ushauri wangu Dada jaydee nenda katafute wahudumu professionals wanao jua kazi yao na kuithamini vinginevyo utapoteza wateja na biashara kwa sababu ya ujinga ya hao wahudumu uchwara.

Amekusoma.. Lakini hebu fanya 'MAREKEBISHO' hapo kwa red , Tafadhali..
 
Nadhani Binti Machozi ujumbe utakuwa umemfikia sawia.............
 
Pamelekebika kwa kweli,nimeenda hapa tena i have to say ...I WAS AMAZED...and to top it up hata yeye anahudumia wateja na yule dada muhudumu hayupo
 
Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya yenye kutia moyo kwa mabint wengine na hata watu wajinsia nyingine.
Lakini,pamoja na yeye kama yeye kufikia mafanikio hayo sehemu yake ya chakula hiyo Nyumbani Lodge naona imepata au inapata umaarufu tu kwa kumpitia Jaydee na sio kama sehemu nzuri na yenye hudumu nzuri.
Kwa huduma ,hamna huduma nzuri kabisa...yaani unaweza kukaa hapo baada ya kuagiza chakula zaidi ya saa nzima au mbili bila hatakuletewa chakula chenyewe na kila ukiuliza unaambiwa subiri,ukichoka kusubiri utaamua kuhairisha ulicho agiza kwa sababu ya kuchoka kusubiri huko na hata 'huto-ombwa'samahani ila wahudumu watendelea kujipitisha tu mbele kukufanya kama umeenda hapo kupewa chakula cha charity.
Ushauri wangu Dada jaydee nenda katafute wahudumu professionals wanao jua kazi yao na kuithamini vinginevyo utapoteza wateja na biashara kwa sababu ya ujinga ya hao wahudumu uchwara.
Ushauri wa kwangu kwa dada Jide akachukue wahudumu wa hoteli kutoka Malawi,wao ni wachapakazi kwelikweli na bei zao ni poa ,pia wakenya ni hodari kwa kufanya kazi za hoteli tatizo wana hila na wivu pia wako expensive.nina wasiwasi huenda jide aliajiri kindugu na kama alifanya hivyo basi asubiri kupomoroka,ajiri pro na ukubali gharama kidogo au ajiri vihiyo kwa bei ya kutupwa na usubiri kupomoroka ASAP
 
Sio fani yake afunge, au auze management. ye akaimbe. ndo alivyozoea
 
What has that to do with JF. Peleka malalamiko yako kwake.

Hakukosea kuleta mawazo yake hapa, wote tungekuwa na mawazo kama yako jf isingekuwa na thred hata moja, maana zote zingepelekwa kwa walalamikiwa. Acha watu wafunguke kwa raha zao.
 
kweli anajitahidi, lakini angefanyea bidii akafika kwa babu tuone kama ataweza angalau kusikia "kichefuchefu"

Hayo matatizo hayana tiba, ndio madhara ya kutoa mimba nyingi walipokuwa secondary school, halafu by the way nadhani anakaribia kufikisha miaka 50, so swala la kupata mimba ni next to impossible.
 
Back
Top Bottom