Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

Wewe Not Enough....umeyajuaje hayo?? Kwa jinsi ulivyoandika ni kwamba hii mijibaba unayoisema una uzoefu nayo???! I am sorry to say this...kama vile una-experience na unayosema??!!!!
 
Mkuu; NE ni very controversial. Why?

1. Yeye mwqenyewe anatafuta Mume
2. Yeye mwenyewe ana mume
3. Yeye mwenyewe hawezi kupitisha siku bila ngono
4. Yeye mwenyewe Mr wake alimtoroka wakati wa valentine
5. yeye mwenyewe anamzimia Mume wa mtu na anamtaka
6. Yeye mwenyewe anapinga nyumba ndogo wakati anataka awe nyumba ndogo . . .

And the list goes on.

OMG: NE will never stop amazing me . . .

Mkuu Not Enough ni scam.
 
Dada yangu hayo si mengi tu kwenye ndoa? kama bado hujaolewa subiri time will come sweet.
 
Scientifically hiyo ni logical conclusion inayokubalika.

Big up.
 
Dada yangu hayo si mengi tu kwenye ndoa? kama bado hujaolewa subiri time will come sweet.

NE tujibu yafuatayo ambayo yanatokana na posts zako:

1. Wewe umeolewa au hujaolewa? Hebu tuambie ukweli tujue moja.
2. unaishi kwa wazazi au hapana.
3. Ni kimada wa mtu au siyo?
4. unapenda sana ngono na kubadilisha wanaume au hapana?

Respect.

Allien.
 
1. Mimi ninaishi na mwanaume
2. Napenda sana ngono, ila elewa hakuna ambaye hapendi ngono ila watu huwa ni wanafiki. Hakuna mtu ambaye hapendi ngono Allien tuwe wakweli jamani.

Siyo kimada ila kabla sijawa committed nimeshawahi kuwa kimada na nimeona how wai treated!!!! OK?

Respect.

Allien.[/QUOTE]
 
.
[/QUOTE]

Wewe ni mwongo ambaye unaweza kujifunga. Thread na post zako zinasema:

1. unaishi na Wazazi
2. Unatafuta Mume wa Kukuoa
3. Mr alikutoroka Valentine (Mr. ni mume ina maana wewe ni Mrs wake)
4. Wewe unapenda Wanaume na huwezi kulala bila kufanya ngono.
5. Wewe mwenyewe unatamani uwe nyumba ndogo kwa kutembea na mume wa jirani.

mbona majibu yako yanakufunga sasa?
 
Mkuu Not Enough ni scam.

Limbukeni! Anadhani JF ni sehemu ya kuleta challenge za kipumbavu kisa ana bundle ya kumalizia kwa modem yake... Hajui kuwa watu wako serious, na hapa ni kama baraza la msisiri, ustaarabu ni muhimu! MY TAKE:Kama anaopost ni upumbavu, wadau msichangie kwa kuwa mkichangia mnampa bichwa! To Hell NE..
 
Mkuu; NE ni very controversial. Why?

1. Yeye mwqenyewe anatafuta Mume
2. Yeye mwenyewe ana mume
3. Yeye mwenyewe hawezi kupitisha siku bila ngono
4. Yeye mwenyewe Mr wake alimtoroka wakati wa valentine
5. yeye mwenyewe anamzimia Mume wa mtu na anamtaka
6. Yeye mwenyewe anapinga nyumba ndogo wakati anataka awe nyumba ndogo . . .

And the list goes on.

OMG: NE will never stop amazing me . . .

(NE=NORTH EAST)

nadhan umepata picha.stop blame the victim.co kupenda kwake ni hali ya maisha!!
 
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

Ndugu yangu kama ulikuwa unataka kumuambia mumeo ...siungemuambia nyumbani ...au kama ni member hapa unajuwa message sent?? du umenichekesha sana ....kuhema na kujamba ....du ..wanawake mnawa enjoy sana wanaume.....!!..lakini mnatakiwa mjuwe kwenye kazi ile mwanaume wa kweli hujishughulisha zaidi...ndio maana inaweza kumsababishia kuhema ovyo[unajuwa one round ni kama kukimbia kilometa kadhaa] na ndio maana wanaume wabishi hufia viunoni maana siku hazifanani kuna siku hata mwanaume na machuma yako unapiga mwili unakuwa haufai[especially ukiwa unanyemelewa na malaria,,au udhaifu wowote hata mawazo]....ukijiloga ukaingia uwanja wa ugenini na hali hio unatafuta aibu....bora aliekuzoea hasa mkeo atajuwa si kawaida !!!

Lakini pia upande mwingine wanawake wansababisha mwanaume akae wiki mbili bila kumjulia hali.....hawaishi makele..yaani mtu akifika nyumbani inakuwa kama kituo cha polisi ...ukizingatia ametoka kazini na frustrations .....hii lazima mjuwe huondoa umakini wote na hamu yote ya kuwa nyumbani .....sasa usijekushangaa huyo mumeo unaemuona ni goii goi nyumbani ni kwa kuwa amekuchoka ....ungebahatika kupata video clip yake huko kwa visichana ....usishangae ukakuta yupo active hata zaidi ya wakati mnaanza mapenzi yenu....so ladies you sometimes cause your own hell...but not all!!
 
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

Mmhhh, umejitahidi kuficha wivu lakini wapi bwana!! Kilichokusukuma kuandika hii thread ni wivu tu, hakuna kingine. Kama ni kabao kamoja mbona unakalalamikia!? Anayeaibika kwa vibinti vidogo ni wewe au huyo mwanaume!? Acha hizo bwana. Tena basi, inawezekana kwako anapata kabao kamoja kwa sababu hujishughulishi lakini kwa mabinti wadogo huenda wanapata dozi kisawasawa! Kalagha bakho na endelea kujiliwaza hivyo hivyo wakati wenzio wanakula maisha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom