nyumba za wageni sinza zimejaa!!

Jamani labda zimejaa wageni toka mikoani ambao wamekuja kwa ajili ya weekend!!Wataondoka Jpili!!!ha ha ha ha
 
Manzese gest za kumwaga na nafikiri ndio eneo kwa dar na tanzania linaongoza kwa gest. Kila mchagga anayesimamisha jego au gorofa pale ni gest na bar. Nanihii zingekuwa zinatoa kelele kama jenereta zinapokuwa zinatumiwa nahisi manzese dail ingekuwa ni makelele kama kiwandani
 
mnh.....................ka we umepata utanshtua unatoka sa ngapi ili nijipenyeze hcho hcho
 
Kazi kweli kweli, mvua inanyesha, ni wiki end alafu mwisho wa mwezi, hope na bar zimejaa pia.
 
Unajua Tanzagiza imelaniwa kwa Ufuska, mambo mengi hayasongi mbele kwa vile watu wanaendekeza ngono,wizi,nk, mbona wepesi kuiga ya nje na wagumu sana ktenda ya kwetu wenyewe. Tubadilike
 
Back
Top Bottom