Nyumba za tembe kilimanjaro.

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Katika pita pita yangu huko Kili vijijini nimefurahishwa na jambo moja. Nyumba zilizopo zinazidi hata za miji mingi kwa ubora . Halafu hakuna tembe hata moja kama zile za Dodoma , Singida n.k Watu wanaishi kama vile wako town bana . Krismas bado lakini ni shangwe tupu. Nilikutana na DALA DALA jipya limeandikwa CITY TRANS, kumbe limekodishwa kuleta watu kwao toka Dar badala ya kung'ngania mabasi japo yako mengi tuu na ya ukweli . Halafu ni wapinzani kwa kwenda mbele . Jamaa wako juu mazee . Kizuri acha kisifiwe bana ..

Kweli nimefurahishwa. Hongereni watani zangu .WHAT THE .
 
MIMI nilitembelea Maaneo fulani Old Moshi nikakuta Baa imeandikwa garden view na nyingine city center yaani ni majina ya kimjini mjini tu Raha jipe Mwenyewe WACHAGA bana!
 
Katika pita pita yangu huko Kili vijijini nimefurahishwa na jambo moja. Nyumba zilizopo zinazidi hata za miji mingi kwa ubora . Halafu hakuna tembe hata moja kama zile za Dodoma , Singida n.k Watu wanaishi kama vile wako town bana . Krismas bado lakini ni shangwe tupu. Nilikutana na DALA DALA jipya limeandikwa CITY TRANS, kumbe limekodishwa kuleta watu kwao toka Dar badala ya kung'ngania mabasi japo yako mengi tuu na ya ukweli . Halafu ni wapinzani kwa kwenda mbele . Jamaa wako juu mazee . Kizuri acha kisifiwe bana ..

Kweli nimefurahishwa. Hongereni watani zangu .WHAT THE .
karibu sana msee wanguee
 
Sifa za kijinga

Ndugu Kamongo.

Wazungu huja Africa kufurahia uzuri uliopo na hutupa misifa kem kem na hela juu. Wabongo wakiambiwa Ngorongoro ni kuzuri wakatembelee hata bure hawataki. Kwa hiyo hao wanoisifia Ngorongoro ni ujinga? Tujifunze kuappreciate vitu vyetu tusione mabaya tuu Alaaaa?

BTW Mbona hujawahi kutoa thanks kwa mchangiaji yo yote humu toka 2009? I can see the reason for your comment. U can'nt apprecaciate anything, negative minded , or just mean. Jitambue Broda.
Kamongo
user-offline.png

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Mar 2009Posts67

Thanks0

Thanked 4 Times in 4 Pos
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom