Nyumba za Mawaziri - nani amehamia kule?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
kwa sababu tumekubali kuwa watawala wao wanastahili maisha ya heri. HIvi mnakumbuka zile nyumba za mawaziri zilijengwa kwa kiasi gani kila moja? Ni mawaziri wangapi wanaishi kwenye nyumba zile? Je Mawaziri wote wanaishi kwenye nyumba zile?

Nilikuwa natafuta specs zake...
 
Duh, wengine tulisha zisahau. Hivi gahrama zake ni kiasi gani vile ili tulinganishe na nyumba ya Ndullu!!! Nakumbuka kam MKJJ ulikuwa na picha za zile nyumba, unaonaje kama utatuwekea hapa kujikumbusha kidogo??
 
Tanzania ina mambo, yaani wale walioko vijijini wametelekezwa lakini wanambiwa kila kukicha wafanye kazi kwa bidii.
 
kwa sababu tumekubali kuwa watawala wao wanastahili maisha ya heri. HIvi mnakumbuka zile nyumba za mawaziri zilijengwa kwa kiasi gani kila moja? Ni mawaziri wangapi wanaishi kwenye nyumba zile? Je Mawaziri wote wanaishi kwenye nyumba zile?

Nilikuwa natafuta specs zake...

Nafikiri karibia wote wameshahamia sasa hasa wale wa Mikocheni na Victoria pale

Ila kuhusu bei naffikiri itakuwa busara sana kuanza kumuuliza Mzee wa Samaki (MAGUFULU) kwamaana ndio alikuwa mwanzilishi na tumalizie kwa KAWAMBWA ambaye anamalizia kutekeleza

Cha kuongeze sijajua zile nyumba za Masaki, Oysterbay walizopewa Vigogo zimeishia wapi sakata lake maana niliskia kulikuwa na uwezekano wa kurudishwa kuwa chini ya serikali kama sijakosea
 
Wengine nasikia walizikataa kwamba ziko karibu karibu mno hivyo hazina siri (kwamba nyumba A wanaweza kujua kirahisi kilichojiri nyumba B) na wengine walizichukua lakini wakaamua kuwapa ama watoto wao waishi ama ndugu na hata jamaa.
 
Nafikiri karibia wote wameshahamia sasa hasa wale wa Mikocheni na Victoria pale

Ila kuhusu bei naffikiri itakuwa busara sana kuanza kumuuliza Mzee wa Samaki (MAGUFULU) kwamaana ndio alikuwa mwanzilishi na tumalizie kwa KAWAMBWA ambaye anamalizia kutekeleza

Cha kuongeze sijajua zile nyumba za Masaki, Oysterbay walizopewa Vigogo zimeishia wapi sakata lake maana niliskia kulikuwa na uwezekano wa kurudishwa kuwa chini ya serikali kama sijakosea

ni kweli mkuu wengi walizikataa.
 
kinachotokea hapa ni nchi kukosa maono, nnchi kukosa jukwaa, nchi kukosa msemaji, ama unaweza kuhisi nnchi inakwenda hobelahobela.
nasema hayo kwasababu zile nyumba sina takwimu sahihi Mawaziri wangapi wanaishi mule, ila wengi waligoma hasa kwa kisingizio cha ukaribu na kukosa usiri, kama walivyojadili wanajamii wengine mwanzoni. kama tungekua tunamsemaji wataifa kwa maana ya Rais na mamlaka zake zote mawaziri walipaswa kuishi kwenye zile nyumba, kwa maana ya kurahisisha gharama za ulinzi na mambo mengine.
ila kwa mwanannchi wa kawaida kama mimi nafurahi tunavyoishi nao mitaani japo mitaa ya kunduchi ,Mbezi Beach ndio wanaofaidi, kwasababu yanafasi yakupata huduma nyingi muhimu kama Maji na ulinzi kwa maana walipo hao mabwana wa Ikulu lazima ulinzi uimalishwe, lazima maji hayatakatwa hovyo, umeme utakua na nidhamu , basi tu kupata huduma za kila namna.
 
kwa sababu tumekubali kuwa watawala wao wanastahili maisha ya heri. HIvi mnakumbuka zile nyumba za mawaziri zilijengwa kwa kiasi gani kila moja? Ni mawaziri wangapi wanaishi kwenye nyumba zile? Je Mawaziri wote wanaishi kwenye nyumba zile?

Nilikuwa natafuta specs zake...

Mwanakijiji, thanks a lot kwa hii post my brother!

Zile nyumba kusema ukweli ni mawaziri wachache sana wanaoishi kule! Pale kijitonyama/victoria zilijengwa za manaibu mawaziri na kule masaki za full ministers. Lakini zile nyumba hazitumiki kama ilivyokusudiwa.

Mfano, Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa yuko Mwanza, Abbas Kandoro bado familia yake inaishi kwenye zile nyumba za manaibu mawaziri (Wakuu wenye vyeo ngazi ya mkoa nao baadhi yao wanaishi huko probably baada ya kuona walengwa wamezipiga chini).

Mwandosya(Maji) na Chikawe(Sheria)wanaishi Kunduchi-Bahari beach.

Masha anaishi Mikocheni, Shamsa Mwangunga-Mbezi beach.

Wenye orodha nyingine walete!
 
Hold on a minute.. sasa walizijenga na wanaoishi siyo walengwa? Sasa wale wanaoishi huko kwa minajiri gani si wangeziweka sokoni ili watu wagombanie kununua na ziwe kwa binafsi?
 
Hold on a minute.. sasa walizijenga na wanaoishi siyo walengwa? Sasa wale wanaoishi huko kwa minajiri gani si wangeziweka sokoni ili watu wagombanie kununua na ziwe kwa binafsi?

Hawakujenga kwa kupenda, ilikuwa shinikizo baada ya kuuza zile za mwanzo. Siunajua mawaziri na makatibu wakuu waliokuwa wamechanguliwa na hawakupata kuuziwa zile za mwanzo walivyokuwa wanajifanya kukaa hotelini na familia zao baada ya uchaguzi eti wakisubiri fanicha ziwekwe mule. Zilipowekwa tu ndo wakaanza kwenda kukaa kwenye nyumba zao mbezi na kunduchi.

as far as i know wengi hawakai mule, wanasema ni kama kukaa kwenye flats na pia nyingine (hasa za kijitonyama) zipo karibu sana na wale jamaa zetu wa usalama hivyo wakubwa hawapendi kumulikwa mulikwa

Halafu unajua nini, servant quarter za zile nyumbe ni 1000 times better kuliko nyumba za maofisa wetu wa jeshi la polisi huku kurasini na kwingineko (ukiacha hizi gorofa mpya)
 
kwann wasipangishwe walalahoi jamani kama aiendani na viwango vya waheshimiwa wetu shame to them
 
Mawaziri wakae kambini? Sio rahisi hasa kwa hawa tulionao kwa sasa. Wana madudu mengi binafsi yanayohitaji usiri wa hali ya juu. Naambiwa hata Maghufuli mwenyewe alienzisha mpango huu hakai huko.
 
Mawaziri wakae kambini? Sio rahisi hasa kwa hawa tulionao kwa sasa. Wana madudu mengi binafsi yanayohitaji usiri wa hali ya juu. Naambiwa hata Maghufuli mwenyewe alienzisha mpango huu hakai huko.

Unategemea Brothermen Masha, Ngeleja na Hussein mwingi wakakae kwenye hizo community homes? Yahusu?
 
As far as I know hii tabia yetu ya kulalamikia kila kitu haiwezi kutupeleka popote....

Kwa kusema hivyo sio kwamba naunga mkono, mambo ambayo yamekaa shaghala baghala! No.... only that I know nothing will real change.
 
Unashauri tufanye nini kama m-badala wake?
 
Sio larisi kwa hawa mawaziri kuweza kukaa pamoja, si wamoja wameunganishwa na nia yao ya kutaka vyeo lakini sio watu wanaoshabihiyana. Wengi walijaribu naona sasa wamerudi kwenye nyumba zao. halafu si unajua tena kamati za ufundi kwa hawa watu hazikauki.

Hivi nani aliwaza kuwaweka mawaziri pamoja kama hostel vile?
 
Back
Top Bottom