Nyumba za Kupanga, Ukizubaa tu Mboga Imeibiwa!!!!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
319792_309135282495139_1818300841_n.jpg
 
Mmmh mimi naona hatari ya kutiliana sumu ni zaidi kuliko kuibiwa mboga...
 
Mmmh mimi naona hatari ya kutiliana sumu ni zaidi kuliko kuibiwa mboga...
MadameX kwa nini utiliwe sumu kama unaishi na wenzako vizuri? Mie hapo naona tatizo ni hayo majiko kuwa karibu karibu kiasi hicho. Najiuliza tu wamama wanakaaje hapo kupika?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni mwendo wa ndondo (aka maini) na tembele. Kuombana chumvi ndo mtindo wa kawaida ' mama said una vijidagaa unisaidie' Life la uswazi by Inspector Harun aka Babu:photo:
 
Duuh! Hapo anawezasahau sufuria lake akafungua la mwenzie ikawa tabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom