Nyumba za kulala wageni??au zakupumzikia wakazi!!

Siku hizi wahudumu wa hizi nyumba wanalalamika ati kila couple ikiingia kunanii, mwanamke anakuwa analia saaaaana tofauti na zamani yaani kama vile anakufa. Hii inatokana na nini kama siyo kutiguka
Wanawake wamekuwa majambazi wanalia ili akuibie hawanalolote!!
 
Hahaha! au natoka kilimanjaro? Ungemalizia tu wala usiogope.

Mambo ya gongolamboto unawezakuwa baa unakamata kinywaji chako unaona kaunta nzima inasimama unasikia karibu afande!!agh!!baa siya jeshi kila mmoja anakunywa kwa pesa yake iweje hivyo??nikagundua jamii ya huko ni wajeda!!Nika mwambia rafiki yangu utaniona mbaya huku siji mimi siwezi kunywa ndovu yangu nimebana matko na mikono starehe iko wapi??raha yapombe ujimwage!!kelele etc.
 
Halafu tarehe kama hizi karibia gesti zote ziko full booked zingine zinatoa offer
 
hivi wana jf hamuoni kwamba hotel,guest zisingeruhusu mwanaume na mwanamke kutopewa room kama hawana cheti cha ndoa ingesaidia kupunguza uzinzi?

itakua noma sana hii kwanza biashara yenyewe ya guest itakufa maana wateja wa hizi guest wengi ni hao hao wa tutoka dar kwenda dar kuzaliwa dar kufanya kazi dar.
 
Kaka umenifurahisha sana, kumbe wastaafu wa jeshi ndio wakazi wa kimara? nilikuwa silijui hilo...
Gongo la mboto kimara kwenda kibaha ni wastaafu wa jeshi ukonga banana mchanganyiko magereza na jeshi,kijichichi mkulanga polisi charambe huko ni wafanyakazi wa mawizara ya ndani na sheria,kilimo,kazi viwanda temeke temeke....Sasa ukija mbezi bunju wastaafu wa wizara za fedha BOT Wizara ya nje Bunge ,biashara mashirika ya kimataifa etc
 
Back
Top Bottom