Nyumba za kulala wageni??au zakupumzikia wakazi!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Unapotoka:DAR!!
Unasafiri kwenda:DAR!!
Unapoishi:DAR!!
Ulipozaliwa:DAR!!
Unapofanyia kazi:DAR!
Zis iz amazing!
 
Ni za wageni ndo maana hata kwako kimara akikutembelea mtu kutoka ubungo unasema nina mgeni nyumbani.
 
akuna shida tayari unakuwa mgeni atakama ukienda kulala kwa jirani yako atasema ninamgeni kaja kulala
 
hivi wana jf hamuoni kwamba hotel,guest zisingeruhusu mwanaume na mwanamke kutopewa room kama hawana cheti cha ndoa ingesaidia kupunguza uzinzi?
 
Au nyumba za kutigulia to be more specific.
Siku hizi wahudumu wa hizi nyumba wanalalamika ati kila couple ikiingia kunanii, mwanamke anakuwa analia saaaaana tofauti na zamani yaani kama vile anakufa. Hii inatokana na nini kama siyo kutiguka
 
Back
Top Bottom