Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande wa pili una vyumba (4) dabo. nyumba ipo katika hali nzuri. bei milion 70 NB.NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WA KIFAMILIA NK. KWA ANAYEHITAJI ANI PM KWA MAELEZO ZAID.
 
Wewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku???
Haina uhusiano na hiyo Nyumba???
Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo
 
Ok,
Lakini yalikua yakikutokea wakati unaishi kwa hiyo Nyumba?
 
mh! mimi najua nyumba nyingi zinaanzia pande nne na kuendelea sasa hiyo ya pande MBILI mh! Inatia shaka maana na nembo ya freemasons au majini ina pande mbili
 
mh! mimi najua nyumba nyingi zinaanzia pande nne na kuendelea sasa hiyo ya pande MBILI mh! Inatia shaka maana na nembo ya freemasons au majini ina pande mbili[/QUmambo ya majin yamekujaje kwenye nyumba tuache mambo ya kuhis
 
kwani matejoo iko barabara ya moshi - arusha?

acha utani na akili za watu, hamia jukwaa la utani na udaku
 
Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande wa pili una vyumba (4) dabo. nyumba ipo katika hali nzuri. bei milion 70 NB.NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WA KIFAMILIA NK. KWA ANAYEHITAJI ANI PM KWA MAELEZO ZAID.

Huko matejoo kuna mateja sana nini mkuu? Isije ikawa location sio hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom