Nyumba ya vyumba viwili na baraza inauzwa kinyerezi tshs. 15,000,000/=

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika anaitwa spora no. Yake ya simu ni 0652 131653
bei yake ni tshs. Million 15
 
Kwa maelezo zaidi wasiliana na muhusika anaitwa spora no. Yake ya simu ni 0652 131653
bei yake ni tshs. Million 15
fafanua tafadhali, vyumba viwili na baraza (bed rooms, I guess,) including sebule separate, stoo, jiko, bafu ? Ukubwa wa kiwanja? this is important information
 
fafanua tafadhali, vyumba viwili na baraza (bed rooms, I guess,) including sebule separate, stoo, jiko, bafu ? Ukubwa wa kiwanja? this is important information

Vymba viwili hivyo ni vya kulala bed rooms. Na kuna bafu la kuogea na choo na nimesema sitting room moja. Hakuna store room
Ninaomba unipe muda ukubwa wa kiwanja nitakupatia baadaye maana sina hakika ila ninakumbuka kama aliniambia urefu ni square meter 21 na upana 13, sina hakika nitakupa baadaye kidogo
Ninadhani umeelewa sasa
 
fafanua tafadhali, vyumba viwili na baraza (bed rooms, i guess,) including sebule separate, stoo, jiko, bafu ? Ukubwa wa kiwanja? This is important information

nimeongea na mwenyewe sasa hivi:

Urefu = square meter 21
upana = square meter 10

asante
 
Vymba viwili hivyo ni vya kulala bed rooms. Na kuna bafu la kuogea na choo na nimesema sitting room moja. Hakuna store room
Ninaomba unipe muda ukubwa wa kiwanja nitakupatia baadaye maana sina hakika ila ninakumbuka kama aliniambia urefu ni square meter 21 na upana 13, sina hakika nitakupa baadaye kidogo
Ninadhani umeelewa sasa

noted with thanks, ngoja tutafakari. inafaa
 
Nahisi alitaka kumaanisha Meter, kwa kifupi 21*10 hicho kiwanja ni square meter 210, kwa mtu anayejua vema viwanja hiki ni kiwanja kidogo sana

Mbona hiko kiwanja kinakaribia size ya nyumba yangu manake nyumba yangu ni 18*10 du kweli ni kidogo sana
 
Kiwanja kidogo, eneo halijapimwa dah! siku yeyote wanaweza kupitisha barabara hapo au nguzo za umeme.
 
samahani tunasahihishana, huwezi kupima length in square units- ulimaanisha urefu/upana in meters not square meters! OK. asante rafiki
Asante sana wewe huna maneno ya mabaya kama wengine wangenisemea mbovu
barikiwa sana hata mimi ninapewa maelezo na mwenyewe ila naye nimemwambia atafute mtu wa uhakika asiwe anaambiwa vitu ambavyo si sahii
ninadhani hata mimi ni meter siyo squrea meter
 
Back
Top Bottom