BUMIJA JF-Expert Member Oct 19, 2011 5,818 11,001 Apr 16, 2012 #1 Eti ni kweli kua Nyumba ya Udongo haiwezi kua na choo cha Kuflashi,:help::help:
C Chassarsenal Member Apr 14, 2012 91 3 Apr 17, 2012 #2 Mbona babu yang ana toilet ya kuflash killage kwe2.
E Erasto toga Member Mar 23, 2012 15 0 Apr 17, 2012 #3 Co kwel wanaobaka wote wana ugwadu co kwel nyumb ya udong ishnd kuwa na choo cha kuflash
piper JF-Expert Member Jan 17, 2012 3,253 612 Apr 17, 2012 #4 BUMIJA said: Eti ni kweli kua Nyumba ya Udongo haiwezi kua na choo cha Kuflashi,:help::help: Click to expand... Kama unataka kuibomoa nyumba yako ya udongo jaribu tu, vitu vingine unapaswa ujionee
BUMIJA said: Eti ni kweli kua Nyumba ya Udongo haiwezi kua na choo cha Kuflashi,:help::help: Click to expand... Kama unataka kuibomoa nyumba yako ya udongo jaribu tu, vitu vingine unapaswa ujionee