Nyumba ya nani na wapi hapa?

Nyumba ya nani na wapi hapa? Mbona swali yako limekaa kimitego? tuambie hapo ni wapi halafu ndipo tutakupa jibu kua ni nyumba ya nani!
 
Protea Aishi Hotel. Nyumba ya familia ya Mzee Aikaeli Mbowe baba yake na Freeman Mbowe. Umetosheka?
 
Masopakyindi, ukomile ipicha inyumba jhangu kulalasya jhani?, kulonda kulisya?:israel:
 
Kuna zawadi yoyote mtu akipatia jibu? Tuambie tukaisake tupate na data kabisa.
 
Protea Aishi Hotel. Nyumba ya familia ya Mzee Aikaeli Mbowe baba yake na Freeman Mbowe. Umetosheka?
Aeka mbona mkali hivi?
Nilikuwa huko hivi karibuni kukafuata kabinti kazuri ka kipalestina!
Lakini umepatia hapo ni Machame,Aishi Hotel kwa Mzee Mbowe original, baba yake na Freeman Mbowe wa CDM.
Sina uhakika kama bado hoteli hii imo kwenye chain ya Protea maana waliwashitukia wale wasouth Afrika kwa utapeli.
 
Vipi mkuu ulimpata mtarajiwa? Da watu kwa kufukuzia? Mpaka huku mazeeeeeee! Send off ntakuja Mangi maana unahitaji mkalimani!
 
Eeeka naendelea kufukuzia maana kabinti kalinichukua hapo kunionyesha demo ya mavitu ninayotakiwa kuyaweka, la sivyo sipati mali!!!
Sasa sijui nizungukie Epa ya wapi miye!
Hata hivyo kwa uzuri wake sijakata tamaa.
 
Back
Top Bottom