Nyumba ya kupangisha Arusha

babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,879
20,853
Nyumba nzuri ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, corridor area, na fence inapatikana Sakina Arusha kwa bei safi. Karibuni
 
weka bei na picha.....mbona biashara zenu za kiswahili sana jamani??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom