Nyumba ya kupanga natafuta KIMARA/UBUNGO/TABATA

ELITIBISI

Member
Nov 4, 2010
21
5
Wadau nisaidieni natafuta vyumba viwili ya kupanga (Chumba na sebule, chumba kikiwa master ni nzuri zaidi) iwe kwenye usalama zaidi mi nasafiri sana. naomba kuwakillisha, msaada wenu tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom