Nyumba ya kupanga Kijitonyama mabatini

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
NYUMBA inapangishwa Kijitonyama Police Mabatini ina vyumba 4 vyenye makabati kimoja master, sebule ya kutosha, jiko lenye kabati la vyombo, choo na bafu bila kusahau paking za magari 3, Tsh 550,000/= Kwa mwezi Kodi ni mwaka.

Maelezo zaidi: 0714-074040, 0767-074040, 0783-074040
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom