Mkuu nadhani katika watu wa Arusha wewe unamju Crashwise tu, Ok hebu mcheki Filipo, LiverpoolFc, PakaJimmy, EasyMutant wanaweza kukusaidia tatizo lako.Jaribu kucheki na Crashwise
Halafu Jingalao sema hiyo nyumba i range kutoka Tshs ngapi mpaka ngapi? Kwa uzoefu wangu nyumba Arusha ni kuanzia Tshs 100,000.00 - 300,000.00 kulingana na stds na eneo la nyumba hiyo.wakuu natafuta nyumba urgently.
iwe single self maeneo ya mjini karibu na barabara ya moshi arusha.mwenye kufahamu anipm fasta.
Noted mkuu,isizidi 150000