Nyumba ya kupanga inaitajika Arusha

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Budget ni 200 - 250K.
Iwe na vyumba 2 vya kulala (preferably in a gated compound).
 
Mkuu weka preference yako vizuri kwani Arusha ni kubwa! Mtaa gani, mjini kati, kimandolu, unga Ltd, kijenge etc....
 
Mkuu Mtanga Tc, nami natafuta nyumba maeneo ni Ngulelo, Kwa Mrefu, Shangarai na Tengeru. Nyumba ya vyumba 2-3/sebule/jiko/ choo bafu/fensi.., zinaweza kuwa mbili kwa pamoja. Pia isiwe mbali sana na main road (Ms-Ar). Pango 150K - 200K. Ni-Pm kama unaweza nisaidia ila sio udalali!
 
wenye pesa jengeni nyumba mpangishie watu, si unaona wanavyoteseka?

ila mjenge nyumba za standard sio vyoo vya kuchunguliana!!
 
Budget ni 200 - 250K.
Iwe na vyumba 2 vya kulala (preferably in a gated compound).

kuna apartments zipo sombetini karibu na shule ya Imani.....zitakufaa coz bei imelenga budget yako.....
 
Mkuu Mtanga Tc, nami natafuta nyumba maeneo ni Ngulelo, Kwa Mrefu, Shangarai na Tengeru. Nyumba ya vyumba 2-3/sebule/jiko/ choo bafu/fensi.., zinaweza kuwa mbili kwa pamoja. Pia isiwe mbali sana na main road (Ms-Ar). Pango 150K - 200K. Ni-Pm kama unaweza nisaidia ila sio udalali!
Himawari-maeneo uliyotaja sina connections labda nikuulizie hapo karibu kwa maretu on your left...:eek2:
 
kuna apartments zipo sombetini karibu na shule ya Imani.....zitakufaa coz bei imelenga budget yako.....
Duh, Sombetini mbali sana, na hiyo Jam!!

ninavyo dabo mbili eneo la sakina lakini kama ni mwanafunzi hapana!
Sio mwanafunzi bana, Sakina maeneo gani??

mi ninayp kama hiyo ! ila iko dar! vipi nikutumie kwenye bus?
Tuma tuu mkuu... Utatuma na bus ipi??
 
ipo sombetini jirani na yule diwani aliyempiga chini Lema,faida moja ni siku ya hukumu unaweza pata nafasi ya kumfanya matusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom