Nyumba ya kupanga inahitajika

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo itakuwa maeneo ya Mwenge, Survey, Makongo na viunga vyake.
Yaani iwe maeneo ya Mwenge au karibu na Mwenge.

Iwe na chumba Master (Choo na bafu ndani ya chumba), na Sebule. Inaweza ikawa na jiko ndani yake pia.
Iwe imeunganishwa Maji ya bomba na umeme.
Isiwe sehemu ambayo ni chakavu sana au ambayo imetelekezwa, mfano paa bovu, milango mibovu, vyoo vibovu au miundombinu mingine kuwa mibaya HAZITAKIWI.

Iwe katika hali nzuri kiusalama.
Itatolewa Tshs 20,000/= (elfu ishirini tu) kama gharama ya usumbufu kwa atakaefanikisha kupata chumba.nyumba iliyotajwa.
Bei isizidi Tshs 200,000/= kwa mwezi (Laki mbili tu) na utalipwa cash bila kuacha viporo
Kwa wenye maeneo hayo walio tayari nitumie PM
Natanguliza shukrani

CPU
 
Kimara unaweza kupata kama hiyo unayohitaji kwa bei nzuri....kama uko interested niambie nikuunganishie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom