Mr. Politician
Member
- May 16, 2008
- 74
- 7
Iwe Chumba sebule, Jiko na choo. Bajeti ni Tsh 150000 kwa mwezi malipo ya mwaka mzima yapo tayari. Mwenye nayo aniPM.
Wewe ni mgeni humu JF??Iwe Chumba sebule, Jiko na choo. Bajeti ni Tsh 150000 kwa mwezi malipo ya mwaka mzima yapo tayari. Mwenye nayo aniPM.
Hapa Kasulu ipo, ila ni 155,000 kwa mwezi, unalipa ya mwaka mzima!
Wewe ni mgeni humu JF??
baadaye mods wakiamka utaona kwenye heading limeongezeka neno ''moved''
Ninayo hapa gongolamboto ndo nimemaliza kuikarabati baada ya mpasuko wa mabomu.Sijapotea wala sio mgeni. Wewe unayeuliza kama mimi ni mgeni ndo hujui jinsi ya kumtambua mgeni.
Kwa wale waliouliza ni wapi. Mimi nahitaji maeneo ya Dar es salaam
Umepotea jukwaa, labda kama unataka iwe ofisi ya chama.