Nyumba ya kupanga inahitajika kwa haraka

Mar 5, 2012
92
23
Natafuta nyumba ya kupanga, mimi ni dalali. inahitajika nyumba yenye vyumba vi-3 au 4 pamoja na master bedroom. Iwe na fence, iwe na tiles pia. Maeneo ni sinza, ilala boma au magomeni. Kwa mawasiliano piga, True Road Commission Agent;
0763 894508 AU 0719 473879.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom