Nyumba ya kupanga hombolo

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
225
Wana JF nina hitaji msaada kama kuna mwenyeji wa Hombolo Dodoma, ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo ni muajiliwa mpya chuoni. Vile Vile kama naweza kupata kiwanja cha kujenga kwa gharama isiyo zidi milioni moja. Asanteni.
 
Back
Top Bottom