Nyumba ya kununua inahitajika haraka maeneo ya keko machungwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF Heshima mbele, I appreciate all Member in JF,
Wakuu nataka kuwekeza Pale KEKO MACHUNGWA kwa anayejua nyumba inauzwa na bei gani chajuu nitampa. tuwasiliane hapa. nataka kujenga Hostel ya Ghorofa moja. Bei Isizidi Milioni 15M Regarding my Budget, Zile nyumba zimechoka sana, mwaka jana nilipata mja 4M lakini nilishindwa ku meet requirement ndo maana nikaona niweke kwenye website yetu wakuu
 
du kwa bajeti hiyo, buruguni rozana kuna nyumba milioni 150, ipo m 300 toka uhuru road, ila ipo barabara ya mtaa inapita hapo kwenye nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom