Nyumba ya kiongozi wa CCM Igunga yachomwa Moto; CUF waungana na CCM,Chadema waruka

ccm wasiwafanye cdm ni watoto kiasi hicho, wala c wajinga kusikiliza mchezo wa kitoto kama huu...
wanashindwa kuomba kura wanang'ang'ania kuwachafulia wengine. mazezeta kweli haya mafisadi, ny.oko zenu
mliobuni mchezo huu
 
Inatia mashaka mtu akachome nyumba kwa siri halafu aache ujumbe wa kujitambulisha! Kama alitaka ajulikane si angekuja mchana?
Kisa hiki kinanikumbusha tukio la wizi kwenye duka moja ambapo mwenye duka alidai kuokota picha iliyodondoshwa na wezi kwenye duka. Nilipofuatilia kwa makini nikagundua kuwa polisi walipofika kwa mtuhumiwa, kwa kuwa walikuwa hawamjui waliamua kuomba albam kwa mkewe na wakachomoa picha moja ambayo iklikuwa ikimuonyesha vizuri. Baada ya kukosa ushahidi, wakaamua kumpa picha hiyo mwenye duka aseme kuwa waliidondosha dukani wakati wa kuiba. Hakika hakimu mwenye busara alikataa kukubaliana na ushahidi huo kwani hakuona sababu ya mwizi kwenda kuiba akiwa na picha kama hiyo tena picha yenyewe ilionekana kupigwa wakati wa arusi yake.
Mimi nilimfuata mwenye duka na kumweleza kuwa kama kweli yeye ni muumini mzuri basi ukweli utakuja kukusuta hapa hapa duniani. Baada ya hakim kutilia mashaka ushahidi huo, jamaa hakuedelea na kesi!

Tusibishane sana.. nadhani huu ni muujiza wa kwanza Afrika, Nyumba yaungua na kuteketea.. karatasi ya ujumbe yapeta!!..Do.. ni karatasi au chuma... Nyumba iungue karatasi IPONE?????!!!!.............
 
kwani huyu aliyechomewa kubanda cha kuku, si yule Hamisi, aliyekuwa katibu wa CUF na baada ya kuchakachuliwa kabla ya kampeni akajoin CCM?? na hiyo si nyumba yake wala chochote, ni banda tu lililokuwa kwenye nyumba ya jirani yake.. ni kijana mbaba mfyoko sana huyo, anapenda fedha kuliko chochote, ndiye yule aliyemparamia Nape baada ya kutoka kutoa pole that time, yeye na kundi lake wakajipendekezea kikao ili wapate chichote ,thats why wakasema cuf and ccm lao moja Igunga, ni kwa sababu ya huyo mpuuzi wa Nyandekwa. Nape aliwaahihi kuwafanyia makubwa ataporudi kuanza kampeni, sasa hamisi Nape hamuoni wala nini, kaona mwenzie waliomwagiana tindikali kwa uroho wa fedha ya kubandika mabango kapanda ndege kuja DSM, na yeye katupia kuku kiberiti, apate chochote. wewe Toka lini nyumba ikaungua kiasi kile Kuku wakapona na karatasi haikuungua..aende kule bongo amuone jamaa aliyemwagiwa Tindikali.. keshatelekezwa.. ash we unacheza na ccm?
kijana huyu ni mpuuzi, ni msaliti wa CUF, ni kiherehere flan.. akamatwe na kuhojiwa.
 
Hii habari imenichekesha sana, sasa leo mzee wa watu wa CUF kapigwa kasema ni CCM , ikabidi vijana wa CUF waje juu maana wameona hii ndoa feki, CCM haina soni piga mpaka wazee...

Shigela anaongea na povu...kavaa jezi ya ukamanda haswa! Heheh!!

Ukitaka fitna nchi hii...
 
Nyumba inaungua lakini karatasi inapona!!
Tafakari Chukua ...

Pasipo kuhitaji utaalam wa kiintelejensia, wala kupendelea CDM. Hebu tujiulize jamani;

Baada ya banda kuungua eti asubuhi wakakuta karatasi ikiwa imewekwa ikionyesha wahusika ni CDM, ina maanisha basi hao waliochoma hilo banda walikaa pembeni wakisubiria moto uishe ili waiweke hiyo karatasi maana kama wangeiweka wakati wanachoma moto na yenyewe siingeungua?? Kweli hivi ni vichekesho.

Alafu wakati taarifa imepelekwa Polisi ili wachunguze, tayali kiongozi wa ccm na mwenye hilo banda wameisha conclude kuwa wahusika ni CDM, hii haiingii akilini hata kidogo.
 
Ccm wamebakiza kutega mabom tu,takataka zooote wameshafanya lakini bado watu wamewagundua.
 
Kwanini ilichomwe jiko na si nyumba yake ya kulala? Polisi wamuhoji huyo bwana na vijana wa CCM watakuta hand writing ni za hao watu wa CCM, kuanzia na Mwigulu hadi Mkama mwenyewe.
 
Hii habari imenichekesha sana, sasa leo mzee wa watu wa CUF kapigwa kasema ni CCM , ikabidi vijana wa CUF waje juu maana wameona hii ndoa feki, CCM haina soni piga mpaka wazee...

Shigela anaongea na povu...kavaa jezi ya ukamanda haswa! Heheh!!

Ukitaka fitna nchi hii...

Hizo ni dalili kwamba ccm wanapumulia mashine, hadi wameamua kuwashughulikia ndugu zao wa cuf ambao wamekuwa pamoja tangu mwanzo wa kampeni.

Sitoshangaa kusikia ccm wametega mabomu na kuua watu lakini wakasingizia chadema. Na kwa hali hii Chadema wajipange kudhibiti kila mbinu na aina yoyote ya uchakachuaji, kwani wakishindwa kabisa kupata huruma ya wana igunga kutokana na matukio haya wanayoyaratibu watabaki na option moja tu ya kuchakachua matokeo.
 
Kuna habari unasoma kisha inakutia hasira.

Gazeti la mwananchi kama watalea waandishi aina ya Daniel Mjema basi wajiandae kupoteza msomaji wao.
Huko vijijini mara nyingi jiko hutumika kama banda la kuku/bata
Mwandishi anapokuja na heading ya NYUMBA wakati picha yaonyesha BANDA unajiuliza malengo ni nini.

Kwa nini aonekane KM wa CCM anakagua na sio polisi wakiwa kwenye uchunguzi wa awali??
Picha inaonyesha banda lilikuwa limeezekwa kwa nyasi vinginevyo tungeona mabati yaloungua.
Kwa nini picha haionyeshi kuungua kwa fremu ya mlango iwapo kulikuwa na mlango??

Dan Mjema umepewa vipande vingapi vya fedha kuuza utu wako???
 
CCM kwa vituko eti nyumba iungue kikaratasi chenye ujumbe wa Chadema kibaki ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom