Nyumba ya kifamilia inauzwa machimbo ya kitunda

Mkuu kuwa serious na biashara, hiyo taarifa haijitoshelezi. Kiwanja kimepimwa, kina ukubwa gani etc? Pia, weka contacts zako
 
Nyumba ina vyumba vi3 vya kullaa+masterbed room,sebule,dining room,choo,bafu,stoo.
Kiwanja miguu 30 * 25 (local mesurements) ,Hkijapimwa ukizingatia viwanja around kitunda kivule machimbo havijapimwa ,call 0714593354 or 0767593354
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom