Nyumba ya inapangishwa mbezi makonde.

Tumba

Member
Mar 2, 2011
37
2
Nyumba inapatkana mbezi makonde, ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo cha ndan(public toilet), iko kwenye shared compound, car parking kubwa. Kodi kwa mwezi ni Tsh 200,000 kwa miez 12. Anaehitaj ani pm kwa mwongozo zaidi.
 
Mkuu laki2 nyingi sana kwa miezi 12 punguza hadi laki na nusu niku pm sasa hivi 2elewane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom