Nyumba ya Ghorofa moja Inauzwa (Semi finnished)

galaxy68

Member
Mar 9, 2012
41
0
Nyumba ya ghorofa moja ipo Kimara stopover - Michungwani area(haijapauliwa) inauzwa bei ya kutupa,Ina Master bed room 3 za ukubwa wa 6x6mtr ziko juu,Bed room ya kawaida 1 ya 5x5mtr iko juu,M/bed room nyingine iko karibu na garage chini,Sitting 2,moja ya juu yenye ukubwa wa 7x7mtrs,na nyingine ya chini (ground floor) ukubwa wa 6x6mtrs,Dinning room kubwa ya kutosha,Public toilet&bathroom,Kitchen kubwa ya kutosha,balcon ya kumwaga,Garage ya kuingia magari 3, Ukubwa wa eneo la kiwanja ni sqm 900, Price 65 mil. for more details contact # 0754 364 363/0719 757 700.
 
Nyumba ya ghorofa moja ipo Kimara stopover - Michungwani area(haijapauliwa) inauzwa bei ya kutupa,Ina Master bed room 3 za ukubwa wa 6x6mtr ziko juu,Bed room ya kawaida 1 ya 5x5mtr iko juu,M/bed room nyingine iko karibu na garage chini,Sitting 2,moja ya juu yenye ukubwa wa 7x7mtrs,na nyingine ya chini (ground floor) ukubwa wa 6x6mtrs,Dinning room kubwa ya kutosha,Public toilet&bathroom,Kitchen kubwa ya kutosha,balcon ya kumwaga,Garage ya kuingia magari 3, Ukubwa wa eneo la kiwanja ni sqm 900, Price 65 mil. for more details contact 0754 364 363/0719 757 700.

Sq900 kiwanja kidogo sana hata nusu heka hakijafika(30m*30m),bei yako ni kubwa sana kuuza pagale kwa mil65?? Labda kidogo 25mils sio mbaya!!
 
Sq900 kiwanja kidogo sana hata nusu heka hakijafika(30m*30m),bei yako ni kubwa sana kuuza pagale kwa mil65?? Labda kidogo 25mils sio mbaya!!

Inategemea value ya mjengo wenyewe siyo pagale kama unalolijuwa wewe,hiyo 25m yako ni ya kuchimba choo tu.
 
Kwa maelezo yaliyotolewa, iwapo nyumba haina mgogoro na inafikika kwa gari basi ni bei nzuri sana. Weka picha ili tupate uhalisia zaidi.
 
Back
Top Bottom