Nyumba ya Dr. Dau yavamiwa; vitu vyaibwa, vingine vyarudishwa kiana

mkuu leo tumekutana huku,
anaweza kuwa amepewa nyumba ya shirika akawa hajahama kwenye nyumba yake binafsi kwahio akawa analala siku kadhaa huku siku kadhaa kule,kama mwandishi alivyosema siku hio hakulala hapo.
wazee wengi huwa wanafanya hivi,wengine huwaachia watoto kabisa hio nyumba na yeye kuishi nyumba ingine,sio ufisadi ni haki yake kupewa nyumba ya shirika kufuatana na cheo chake

Mkuu Wacha kamba usiongee kwa kufikiria ndio sababu nilisema itabidi GT aje hapa atuweke sawa. Hakuna sheria kwenye NSSF ya kulinda nyumba mbili kwa wakati moja, kama ameachia watoto ina maana yeye hakai hapo hivyo huo ni Ufisadi kulinda nyumba ambayo hakai MD wa NSSF.
 
kutokana na maelezo ya mwandishi hela hizo ni tsh 4/5 mil,kwa mtu kama dr dau sio nyingi,na hujui kesho yake ana matumizi gani ndio maana alikuwa na hizo hela
kuna watu wengine ukiwaambia unakaa na laki tano za kibongo ndani watakwambia hela zote hizo za nini,kwahio hela nyingi inategemea mtu na mtu.

Kama ni pesa ndogo kwa nini imezitaja kwenye vitu vilivyoibiwa? Si angesema tu vijisenti au siyo? lakini mbona hapo kwenye habari wanesema fweza nyingi sasa nani ana determine fweza kidogo? Soma hapa chini

"Mwenye mali yake amesema hawezi kwa haraka haraka kukumbuka ni kiasi gani cha fedha ingawa anasema kulikua na pesa nyingi pamoja na nyaraka zake mbalimbali.
 
Mkuu Wacha kamba usiongee kwa kufikiria ndio sababu nilisema itabidi GT aje hapa atuweke sawa. Hakuna sheria kwenye NSSF ya kulinda nyumba mbili kwa wakati moja, kama ameachia watoto ina maana yeye hakai hapo hivyo huo ni Ufisadi kulinda nyumba ambayo hakai MD wa NSSF.

pole ndugu kama unaona ajabu mtu kupewa nyumba ya shirika na kuendelea kukaa kwake siwezi kulazimisha ukubali,hayo ni maisha ya kawaida,FYI hizo nyumba za shirika unaamua inakuwa furnished so nyumba yako huamishi chochote unaamua wewe/watoto kama ni wakubwa wakae wapi.
hayo ya GT aje kukuweka sawa msubiri wewe akuweke sawa.
 
Kama ni pesa ndogo kwa nini imezitaja kwenye vitu vilivyoibiwa? Si angesema tu vijisenti au siyo? lakini mbona hapo kwenye habari wanesema fweza nyingi sasa nani ana determine fweza kidogo? Soma hapa chini

[/B]

duh!!!r u serious??kwahio kama hela ndogo ndio huwezi kutaja kwenye mali ulizoibiwa......
 
pole ndugu kama unaona ajabu mtu kupewa nyumba ya shirika na kuendelea kukaa kwake siwezi kulazimisha ukubali,hayo ni maisha ya kawaida,FYI hizo nyumba za shirika unaamua inakuwa furnished so nyumba yako huamishi chochote unaamua wewe/watoto kama ni wakubwa wakae wapi.

Sioni ajabu soma vizuri hoja yangu. Nimesema hakuna sheria NSSF ya kulinda nyumba mbili za boss wa NSSF. Hayo mambo ya furnitures ni etc haijalishi. Ninaongelea sheria ya NSSF inavyosema watoto kama ni wakubwa etc hayo ni mambo yako binafsi.

duh!!!r u serious??kwahio kama hela ndogo ndio huwezi kutaja kwenye mali ulizoibiwa......

Mwenyewe wamemnukuu kasema fweza nyingi kwani amebadili hiyo kauli?

pole ndugu kama unaona ajabu mtu kupewa nyumba ya shirika na kuendelea kukaa kwake siwezi kulazimisha ukubali,hayo ni maisha ya kawaida,FYI hizo nyumba za shirika unaamua inakuwa furnished so nyumba yako huamishi chochote unaamua wewe/watoto kama ni wakubwa wakae wapi.
hayo ya GT aje kukuweka sawa msubiri wewe akuweke sawa.

Kuna maswali mengi tu pale yameulizwa, nafikiri GT anaelewa zaidi kwa sababu yuko jikoni au hutaki?
 
Kama ni pesa ndogo kwa nini imezitaja kwenye vitu vilivyoibiwa? Si angesema tu vijisenti au siyo? lakini mbona hapo kwenye habari wanesema fweza nyingi sasa nani ana determine fweza kidogo?

Sioni kosa la yeye kutaja pesa kama mojawapo ya vitu vilivyoibiwa hata kama ingekuwa ni senti moja kwa kuwa ni yake anahaki ya kuorodhesha, na kuhusu kiasi nadhani kusema tu "nyingi" pana maana pana sana hicyo sidhani kama kuna haja ya kumhukumu kabla mwenyewe hajataja kiasi inawezekana ni milioni 1 inwezekana ni bilioni na inawezekana ni laki 2 inategemea na tafsiri tu ya mtu. wengine wana mabilioni wanaita "visenti" wengine wana nusu milioni wanaita "mapesa".

binadamu hatuna jema kasema pesa nyingi imekuwa mada angesema vijisent nayo mngekuja juu kwanini tuhukumu hata bila kujua undani zaidi!
 
Habari ambazo nimezipata (toka kwa ka-nzi) zinadokeza kuwa Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau amevamiwa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Kinondoni na majambazi na kuporwa vitu mbalimbali vikiwemo fedha na nyaraka mbalimbali. Tunashukuru Mungu kuwa yeye mwenyewe hakudhurika. Uchunguzi wa Polisi unaendelea...

Habari kutoka Tanzania Daima

Mkurugenzi NSSF avamiwa

na Irene Mark

Pole Mzee Dau kwa janga hilo.
Swali moja tu la kujiuliza ni hili! Familia inapohama nyumba na kuhamia nyingine kwa sababu yoyote ile lazima inahama na vitu vya ndani, kama furniture. Lakini watu wengi hawawezi kuelewa hii scenario mtu anahama nyumba halafu anaacha of all things- fedha nyingi!!! Je Nyumba hiyo alikuwa anaitumia kama strong room yake?

amka2.gif
KIASI kikubwa cha fedha ambacho idadi yake haijajulikana pamoja na nyaraka mbalimbali zimeibwa kutoka kwenye nyumba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau. Akithibitisha kutokea kwa wizi huo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Elias Kalinga, aliliambia Tanzania Daima Jumapili kwamba tukio hilo limetokea majira ya saa tisa usiku wa kuamkia jana.
Kamanda huyo alisema nyumba iliyovunjwa ni mali ya Dau, iliyoko jirani na viwanja vya Leaders Kinondoni, ambayo hata hivyo hakuna anayeishi humo baada ya mmiliki wake kuhamia sehemu nyingine.
“Mwenye mali yake amesema hawezi kwa haraka haraka kukumbuka ni kiasi gani cha fedha ingawa anasema kulikua na pesa nyingi pamoja na nyaraka zake mbalimbali. Hakuna mali zaidi zilizoibwa.
“Hiyo nyumba iko jirani na viwanja vya Leaders pale Kinondoni… awali Dau alikuwa akiishi humo, lakini mpaka wizi unatokea yeye na familia yake walikuwa wanaishi kwenye nyumba nyingine,”
alisema.
Akielezea namna wizi huo ulivyofanyika, kamanda Kalinga, alisema ukuta mkubwa unaozunguka nyumba hiyo ulitobolewa kwa kitu kizito ambacho kilitoa sauti na kwamba wahalifu hao waliingia na kuwafunga kamba walinzi.
Alisema jeshi la polisi linawashikilia walinzi hao ambao ni wafanyakazi wa NSSF kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio hilo na kuwataja kuwa ni Deus Mtatiro (52) mkazi wa Kinondoni na Yusuf Bakari (56), mkazi wa Ubungo.
“Tunawahusisha hawa walinzi na wizi huo… ni vigumu mwizi kuvunja ukuta na kuingia ndani bila walinzi kushtuka na kutumia silaha zao mpaka wanafungwa kamba hakuna juhudi zozote za kuzuia wizi huo walizofanya.
“…Ndiyo maana tunawahoji ili kujua kama walihusika ama laa tukimaliza tutawapeleka mahakamani lakini juhudi za kuwapata wengine zinaendelea,” alisema kamanda Kalinga.
 
Watu tukihama nyumba tunachukua vitu vyetu na kwenda navyo makazi mapya. Hata kama Dr dau hakuwa na shida ya kuhama na furniture kwenda kwenye nyumba mpya .. hata fedha nazo aliacha kwenye nyumba aliyohama? tena inasemekana fedha nyingi?
 
sasa ndugu
leo rais nasikia kamsafisha,....kuwa hakupiga nssf
 
Mchecheto huwezi kujidai kuwa hiyo quote ya DAU sio yenyewe!Siku hizi Tz,ukisema Mhindi ni mwizi/fisadi,unaambiwa unaleta ukabila.Ukisema DAU ana agenda ya Uislamu unaambiwa UDINI.Kama CEO mzima anazungumzia mambo ya JEWS ,eti hata rais wa USA hawezi kuchaguliwa bila ya wao,hii ni agenda ya kiislamu.Period.
Kuna hisia nyingi bongo sasa kuwa Udini upo,ila political correctness ya sasa ,viongozi hawawezi kuwa wazi.

Sheikh Yahaya Hussein na matamko ya juzi ya kuhusu kifo ,ni UISLAMU huo.Kama unaona sio,it is matter of opinion.Huwezi kuwashut up watu.
Sina sympathy na Mafisadi ,kusema eti Tanzania ni democratic country,it is a joke.Hata Wabunge wanashindwa kuidhibiti serikali,hata kumwuliza msanii kuwa unaitia aibu Tz kila siku uko hewani kwa pipa private,wakati wananchi wako ni very poor,wanajisaidia nje kama nyani,hakuna vyoo,elimu,watu mpaka leo wanalala njaa.
naheshimu mawazo yako na ntaendelea kukuheshimu mpaka mwisho wa JF,.......
 
Habari ambazo nimezipata (toka kwa ka-nzi) zinadokeza kuwa Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau amevamiwa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Kinondoni na majambazi na kuporwa vitu mbalimbali vikiwemo fedha na nyaraka mbalimbali. Tunashukuru Mungu kuwa yeye mwenyewe hakudhurika. Uchunguzi wa Polisi unaendelea...

Habari kutoka Tanzania Daima

Mkurugenzi NSSF avamiwa

na Irene Mark

amka2.gif
KIASI kikubwa cha fedha ambacho idadi yake haijajulikana pamoja na nyaraka mbalimbali zimeibwa kutoka kwenye nyumba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau. Akithibitisha kutokea kwa wizi huo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Elias Kalinga, aliliambia Tanzania Daima Jumapili kwamba tukio hilo limetokea majira ya saa tisa usiku wa kuamkia jana.
Kamanda huyo alisema nyumba iliyovunjwa ni mali ya Dau, iliyoko jirani na viwanja vya Leaders Kinondoni, ambayo hata hivyo hakuna anayeishi humo baada ya mmiliki wake kuhamia sehemu nyingine.
“Mwenye mali yake amesema hawezi kwa haraka haraka kukumbuka ni kiasi gani cha fedha ingawa anasema kulikua na pesa nyingi pamoja na nyaraka zake mbalimbali. Hakuna mali zaidi zilizoibwa.
“Hiyo nyumba iko jirani na viwanja vya Leaders pale Kinondoni… awali Dau alikuwa akiishi humo, lakini mpaka wizi unatokea yeye na familia yake walikuwa wanaishi kwenye nyumba nyingine,”
alisema.
Akielezea namna wizi huo ulivyofanyika, kamanda Kalinga, alisema ukuta mkubwa unaozunguka nyumba hiyo ulitobolewa kwa kitu kizito ambacho kilitoa sauti na kwamba wahalifu hao waliingia na kuwafunga kamba walinzi.
Alisema jeshi la polisi linawashikilia walinzi hao ambao ni wafanyakazi wa NSSF kwa tuhuma za kuhusika kwenye tukio hilo na kuwataja kuwa ni Deus Mtatiro (52) mkazi wa Kinondoni na Yusuf Bakari (56), mkazi wa Ubungo.
“Tunawahusisha hawa walinzi na wizi huo… ni vigumu mwizi kuvunja ukuta na kuingia ndani bila walinzi kushtuka na kutumia silaha zao mpaka wanafungwa kamba hakuna juhudi zozote za kuzuia wizi huo walizofanya.
“…Ndiyo maana tunawahoji ili kujua kama walihusika ama laa tukimaliza tutawapeleka mahakamani lakini juhudi za kuwapata wengine zinaendelea,” alisema kamanda Kalinga.

Huyu dau alikuwa mwivi wa Mali za umma kwanini jpm anamgwaya?hizo hela na document hazikuibwa Bali wazee wa kazi walizifuata,huyu bwana anachukua cash 10% au anajengewa mjengo,huo ubalozi wamnyang'anya aende lupango
 
Back
Top Bottom