Nyumba ya Dr. Dau yavamiwa; vitu vyaibwa, vingine vyarudishwa kiana

Sasa jameni walinzi miaka 52 na 56 wapi na wapi na Mzee Dau wajua hao ni retired personel. Na yeye based to his nature of work ni MD wa NSSF.?????????????????????????????????????????????????????????
 
Siku ya Kufa mtu huijui...the way mwandishi alivyoweka as if Dr.Dau alikuwa haishi humo siku zote.(na mdau mleta mada kakoleza Bold)....Kimsingi siku zote anaishi ktk nyumba hio ya Kinondoni...!!! siku ya tukio waliamua kwenda kulala ktk nyumba ya ingine...Haiingii akilini nyumba usioishi ndio uweke mali zako au documents zako...!!!
 
safe moja haimtoshi mpaka mbili, kuwa na safe mbili inamaanisha unaweka pesa nyingi sana, mhhh sio mchezo.....

kwa hiyo wakazi(wapangaji) wa nyumba yake ya kinondoni ambayo iko kwenye prime area ni safe mbili, hii ni kielelezo cha how much hizo safe zina worth
 
How convenient for Dr. Dau of NSSF - talk of killing not one but many birds with just one stone ! What a brilliant move by Dr. Dau of NSSF - talk of throwing a bait and it is swallowed hook, line and sinker by the Kovas of TZ ! Talk of covering ones behind with a transparent piece of linen cloth, that's what ! The trouble is not what is in the closet, but which and whose closet is it ? What astounds me most is the convenience of it all and the impunity that encompasses it that borders on the absurd but then - this is Bongo and the year is 2010 when the guilty will resort to anything to survive ! 4 or 5 million Tz shs ? Believe this and you can believe anything. Birth certificates or title deeds ? Ever heard of a red herring, gun jumping, tombstone and underwriting ? Stay tuned.
 
Ukitunza kiasi kikubwa cha hela nyumbani,ukiwa ULAYA utatuhumiwa kuwa ni MONEY LAUNDERING.
Lakini Tz ni sawa tu,CEO kufanya hivi,what a shame!

Ulaya usifananishe na TAnzania, Ulaya wananjia nyingi za financial transaction kama dard kila duka linapokea card, na inflation yao iko chini. TZ kuweka pesa nyingi nyumbani sio ajabu ni kitu cha kawaida, kwa sababu most transaction ni cash uwezi kwenda bank kila time.
 
"Idadi ya Mayahudi haizidi milioni tatu duniani hivi sasa, lakini wao ndio waamuzi wa kila kitu, hata Rais wa Marekani hawezi kuchaguliwa bila ya Support yao", alisema na kutaja moja ya sababu za Mayahudi kufanikiwa kiasi hicho ni kuwa na fakhari na imani yao licha ya uchache walionao"

Bwana Dau ukimnukuu naona ni mawazo ya Islamists kama akina Osama & Co.Naona hata matatizo ya Uislamu Bongo,ni Mayahudi .Udini upo sasa Tanzania,ukiwa political Correct huwezi kuona haya.At least Mchungaji Mtikila ameamua kuchukua hatua binafsi.

Of course mtu wa kawaida akivamiwa ntakuwa sorry,lakini tunaambiwa alikuwa na kiasi kikubwa home kwake,it will be interesting kuona shilingi ngapi jamaa walichukua.
Mkapa,Cheyo,Lowassa,Rostam wakifanyiwa hivi ,wala sitasikitika

You are cheaply brain washed cow!!!! Lini utatumia akili zako ???
 
Ulaya usifananishe na TAnzania, Ulaya wananjia nyingi za financial transaction kama dard kila duka linapokea card, na inflation yao iko chini. TZ kuweka pesa nyingi nyumbani sio ajabu ni kitu cha kawaida, kwa sababu most transaction ni cash uwezi kwenda bank kila time.

Bull huwezi kutetea hii issue.Waarabu Tz wanaweka pesa ndani,ndio maana uchumi wetu ni dark economy!
Huyu Mswahili DAU ni msomi wa hali ya juu,kuweka hizo millioni nyumbani sio ujuzi.Kama unapokea kima cha chini,sio mbaya kuweka home,lakini huyu bwana ni CEO.What a cock up
 
Kama Dau ni mlokole wa Kiislamu hahitaji kuweka hela benki zitozazo au kutoa riba. Katika imani ya kislamu kutoza au kupokea riba hairuhusiwi, ni shilingi kwa shilingi. Ila sijui benki zao kama zinatekeleza hilo wanalipiaje gharama za kuziendesha>
 
safe moja haimtoshi mpaka mbili, kuwa na safe mbili inamaanisha unaweka pesa nyingi sana, mhhh sio mchezo.....

kwa hiyo wakazi(wapangaji) wa nyumba yake ya kinondoni ambayo iko kwenye prime area ni safe mbili, hii ni kielelezo cha how much hizo safe zina worth

Nilivyokuona umeweka "POLL" ya kupima "Umaarufu" nikajua uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo...!!!

soma vizuri Post...hakuna the so called "WAPANGAJI" ktk nyumba ya Kinondoni..!!

Kama Hujui umuhim wa SAFE uliza...!! pia bei ya safe moja hata Lk2 haifiki...!!! Kulingana na mahitaji ya safe. Wengine wanaweka several "Offsite Backup DATA" maeneo tofauti...!!! si lazima kuweka PESA ktk "SAFE"....na si lazima "All" vikawekwa Pamoja.
 
Inasikitisha kuona baadhi yetu tunaleta ajenda ya udini katika hili suala. Mr. Dau ni muislam, it's a fact, ana uhuru wa kuamini anachokitaka ni haki yake kikatiba. ni kichekesho kuona baadhi yetu hatuna tayari kuvumilia itikadi za watu wengine, na kudhani imani zetu tu ndizo zenye haki ya kuonekana au kudhihirishwa hadharani.

ndugu yetu MMAKONDE amenukuu hotuba ya Dau katika maafari ya shule ya kiislam, je unadhani PENGO/MKAPA/CHILIGATI angewaambia wanafunzi katika maafari ya seminari ya kikristo? kwa mtazamo wangu Mmakonde you are very short sited. umeshindwa kuangalia mazingira ya hotuba yake, pale alipoitoa.

na bingwa anayedai huyu Dau ni mujahidina kwa kutaja hijabu pale NSSF, aidha huyu siye mtanzania anayeijua katiba ya nchi au CHRISTIAN FUNDAMENTALIST. tusisahau kuwa hijab kama msaraba ni religous symbol. hivyo basi ikiwa mkristo anayo haki ya kuvaa msaraba akiwa kazini na muislam anayo haki ya kuvaa hijabu au barakashia. Tanzania ni DEMOCRATIC REPUBLIC which accommodates people of every faith, color and races, as long as they can prove their eligibility to be citizens, and the freedom of practicing their religions is guaranteed constitutionaly. hakuna ubwana au utwana kwa misingi ya imani ya mtu. that's we should not hold ourselves as superior, simply because we hold a certain religious belief and stand to maginalize others. it is wrong

it makes me sad, kuona kuwa ndugu zangu tunakuwa wepesi wa kuingiza udini pasipo na sababu. kwani sijaona MSIKITI pale NSSF. au tunasahau kuwa tuna viongozo lukuki wa kikristo au ndiyo wengi serikalini kwa idadi, graduates from christian seminaries, wearing crosses and attending churches, why this is not mentiomed as an issue?

do we forget that among the accused, katika wala rushwa ni the so called good christians, hatujamuona dau akielekea mahakamani kwa ufisadi, but who do we see? MRAMBA, YONA, LIYUMBA, of course and some muslims, but do we forget that among them are christians.

i hate when some bigots try to bring our country into dissarray by thinking that only people of certain religion, of certain denominations, within that religion deserve to be leaders. its stupid you can't ignore the fact that TZ needs CHRISTIANS, MUSLIMS AND PAGANS as well to participate in its development. i don't buy those bigotry ideas.

Dau is a human being first and NSSF czar last, and he deserves our sympathy as anyone of us deserves in time of trouble.
 
Inasikitisha kuona baadhi yetu tunaleta ajenda ya udini katika hili suala. Mr. Dau ni muislam, it's a fact, ana uhuru wa kuamini anachokitaka ni haki yake kikatiba. ni kichekesho kuona baadhi yetu hatuna tayari kuvumilia itikadi za watu wengine, na kudhani imani zetu tu ndizo zenye haki ya kuonekana au kudhihirishwa hadharani.

ndugu yetu MMAKONDE amenukuu hotuba ya Dau katika maafari ya shule ya kiislam, je unadhani PENGO/MKAPA/CHILIGATI angewaambia nini wanafunzi katika maafari ya seminari ya kikristo? kwa mtazamo wangu Mmakonde you are very short sited. umeshindwa kuangalia mazingira ya hotuba yake, pale alipoitoa.

na bingwa anayedai huyu Dau ni mujahidina kwa kutaja hijabu pale NSSF, aidha huyu siye mtanzania anayeijua katiba ya nchi au CHRISTIAN FUNDAMENTALIST. tusisahau kuwa hijab kama msaraba ni religious symbol. hivyo basi ikiwa mkristo anayo haki ya kuvaa msaraba akiwa kazini na muislam anayo haki ya kuvaa hijabu au barakashia. Tanzania ni DEMOCRATIC REPUBLIC which accommodates people of every faith, color and races, as long as they can prove their eligibility to be citizens, and the freedom of practicing their religions is guaranteed constitutionaly. hakuna ubwana au utwana kwa misingi ya imani ya mtu. thus, we should not hold ourselves as superior, simply because we hold a certain religious belief and stand to maginalize others. it is wrong

it makes me sad, kuona kuwa ndugu zangu tunakuwa wepesi wa kuingiza udini pasipo na sababu. kwani sijaona MSIKITI pale NSSF. au tunasahau kuwa tuna viongozi lukuki wa kikristo na ndiyo wengi serikalini kwa idadi, graduates from christian seminaries, wearing crosses and attending churches, why this is not mentiomed as an issue?

do we forget that among the accused, katika wala rushwa ni the so called good christians, hatujamuona dau akielekea mahakamani kwa ufisadi, but who do we see? MRAMBA, YONA, LIYUMBA, of course and some muslims, but do we forget that among them are christians.

i hate when some bigots try to bring our country into dissarray by thinking that only people of certain religion, of certain denominations, within that religion deserve to be leaders. its stupid, you can't ignore the fact that TZ needs CHRISTIANS, MUSLIMS AND PAGANS as well to participate in its development. i don't buy those bigotry ideas.

Dau is a human being first and NSSF czar last, and he deserves our sympathy as anyone of us deserves in time of trouble.
 
Nilivyokuona umeweka "POLL" ya kupima "Umaarufu" nikajua uwezo wako mdogo wa kuchambua mambo...!!!

soma vizuri Post...hakuna the so called "WAPANGAJI" ktk nyumba ya Kinondoni..!!

Kama Hujui umuhim wa SAFE uliza...!! pia bei ya safe moja hata Lk2 haifiki...!!! Kulingana na mahitaji ya safe. Wengine wanaweka several "Offsite Backup DATA" maeneo tofauti...!!! si lazima kuweka PESA ktk "SAFE"....na si lazima "All" vikawekwa Pamoja.

naona umetafuta kila kitu nilichoandika, si haba...
inaonekana wewe ndio hujui kuchambua vizuri, kuhusiana na wapangaji soma hayo maandishi mekundu vizuri hapo chini kwenye quote na uyaelewe. sikulaumu kwa ajili hukuelewa jitahidi uwelewe.

kila mtu anajua matumizi ya safe na hizo safe zilikuwa pamoja na ndio maana ziliibiwa pamoja na kama hazikuibiwa pamoja, je dr dau ameibiwa kwenye nyumba zake mbili tofauti???

bei ya safe inatokana na safe unayotaka
acha jazba na kutafuta watu binafsi, jibu yaiyoandikwa

safe moja haimtoshi mpaka mbili, kuwa na safe mbili inamaanisha unaweka pesa nyingi sana, mhhh sio mchezo.....

kwa hiyo wakazi(wapangaji) wa nyumba yake ya kinondoni ambayo iko kwenye prime area ni safe mbili, hii ni kielelezo cha how much hizo safe zina worth
 
Inasikitisha kuona baadhi yetu tunaleta ajenda ya udini katika hili suala. Mr. Dau ni muislam, it's a fact, ana uhuru wa kuamini anachokitaka ni haki yake kikatiba. ni kichekesho kuona baadhi yetu hatuna tayari kuvumilia itikadi za watu wengine, na kudhani imani zetu tu ndizo zenye haki ya kuonekana au kudhihirishwa hadharani.

ndugu yetu MMAKONDE amenukuu hotuba ya Dau katika maafari ya shule ya kiislam, je unadhani PENGO/MKAPA/CHILIGATI angewaambia nini wanafunzi katika maafari ya seminari ya kikristo? kwa mtazamo wangu Mmakonde you are very short sited. umeshindwa kuangalia mazingira ya hotuba yake, pale alipoitoa.

na bingwa anayedai huyu Dau ni mujahidina kwa kutaja hijabu pale NSSF, aidha huyu siye mtanzania anayeijua katiba ya nchi au CHRISTIAN FUNDAMENTALIST. tusisahau kuwa hijab kama msaraba ni religious symbol. hivyo basi ikiwa mkristo anayo haki ya kuvaa msaraba akiwa kazini na muislam anayo haki ya kuvaa hijabu au barakashia. Tanzania ni DEMOCRATIC REPUBLIC which accommodates people of every faith, color and races, as long as they can prove their eligibility to be citizens, and the freedom of practicing their religions is guaranteed constitutionaly. hakuna ubwana au utwana kwa misingi ya imani ya mtu. thus, we should not hold ourselves as superior, simply because we hold a certain religious belief and stand to maginalize others. it is wrong

it makes me sad, kuona kuwa ndugu zangu tunakuwa wepesi wa kuingiza udini pasipo na sababu. kwani sijaona MSIKITI pale NSSF. au tunasahau kuwa tuna viongozi lukuki wa kikristo na ndiyo wengi serikalini kwa idadi, graduates from christian seminaries, wearing crosses and attending churches, why this is not mentiomed as an issue?

do we forget that among the accused, katika wala rushwa ni the so called good christians, hatujamuona dau akielekea mahakamani kwa ufisadi, but who do we see? MRAMBA, YONA, LIYUMBA, of course and some muslims, but do we forget that among them are christians.

i hate when some bigots try to bring our country into dissarray by thinking that only people of certain religion, of certain denominations, within that religion deserve to be leaders. its stupid, you can't ignore the fact that TZ needs CHRISTIANS, MUSLIMS AND PAGANS as well to participate in its development. i don't buy those bigotry ideas.

Dau is a human being first and NSSF czar last, and he deserves our sympathy as anyone of us deserves in time of trouble.

Mchecheto huwezi kujidai kuwa hiyo quote ya DAU sio yenyewe!Siku hizi Tz,ukisema Mhindi ni mwizi/fisadi,unaambiwa unaleta ukabila.Ukisema DAU ana agenda ya Uislamu unaambiwa UDINI.Kama CEO mzima anazungumzia mambo ya JEWS ,eti hata rais wa USA hawezi kuchaguliwa bila ya wao,hii ni agenda ya kiislamu.Period.
Kuna hisia nyingi bongo sasa kuwa Udini upo,ila political correctness ya sasa ,viongozi hawawezi kuwa wazi.

Sheikh Yahaya Hussein na matamko ya juzi ya kuhusu kifo ,ni UISLAMU huo.Kama unaona sio,it is matter of opinion.Huwezi kuwashut up watu.
Sina sympathy na Mafisadi ,kusema eti Tanzania ni democratic country,it is a joke.Hata Wabunge wanashindwa kuidhibiti serikali,hata kumwuliza msanii kuwa unaitia aibu Tz kila siku uko hewani kwa pipa private,wakati wananchi wako ni very poor,wanajisaidia nje kama nyani,hakuna vyoo,elimu,watu mpaka leo wanalala njaa.
 
thread ilikuwa ya ujambazi,ikapostiwa kwenye jukwaa la siasa,im too thick to undestand why,coz i dont know if nssf director dr.dau is a politician or head of nssf is a political position,lakini sasa imekuwa thread ya kidini.
kweli ni ngumu kutenganisha siasa na dini.
 
Tanzania ina mafisadi ati? Nyumba mwenyewe wala hakai huko Kwa nini wafanyakazi wa NSSF walikuwa wanailinda nyumba ambayo MD wa NSSF hakai?

Kwa nini alikuwa anaweka fweza nyingi nyumbani? Je, yeye sio mfano au kichocheo cha kuhamasisha wananchi waweke fweza Benki?

Ilikuwaje aweke documents muhimu kwenye nyumba ambayo hakai?

Hapa ndio utaona jinsi jamaa alivyo, hawezi kufanya maamuzi muafaka Je, ni fikra potofu za namna hii ndizo zilisababisha jengo la NSSF kuungua kule Tabora na kupoteza maisha ya watoto kadhaa?

Je, huu ni wizi kweli au funika kombe mwanaharamu apite?

Game Theory njoo mkuu utujuze nafahamu una more to tell about this saga pamoja na deal za Manji et al. is this how the big boss hide his mpunga?
 
Tanzania ina mafisadi ati? Nyumba mwenyewe wala hakai huko Kwa nini wafanyakazi wa NSSF walikuwa wanailinda nyumba ambayo MD wa NSSF hakai?

mkuu leo tumekutana huku,
anaweza kuwa amepewa nyumba ya shirika akawa hajahama kwenye nyumba yake binafsi kwahio akawa analala siku kadhaa huku siku kadhaa kule,kama mwandishi alivyosema siku hio hakulala hapo.
wazee wengi huwa wanafanya hivi,wengine huwaachia watoto kabisa hio nyumba na yeye kuishi nyumba ingine,sio ufisadi ni haki yake kupewa nyumba ya shirika kufuatana na cheo chake
 
Kwa nini alikuwa anaweka fweza nyingi nyumbani? Je, yeye sio mfano au kichocheo cha kuhamasisha wananchi waweke fweza Benki?

kutokana na maelezo ya mwandishi hela hizo ni tsh 4/5 mil,kwa mtu kama dr dau sio nyingi,na hujui kesho yake ana matumizi gani ndio maana alikuwa na hizo hela
kuna watu wengine ukiwaambia unakaa na laki tano za kibongo ndani watakwambia hela zote hizo za nini,kwahio hela nyingi inategemea mtu na mtu.
 
Back
Top Bottom