Nyumba ya barabarani inauzwa

Umenikela sana kuna mbwa mmoja kama ww aliniambiaga mavi kama hayo nilichomwambia ajipime Msiwalazimishiege watu ban

Nimeshajipima nakujifanyia evaluation ya kutosha sana!Tatizo lako ni ubishi ambao hauna hata maana.Kwanza umeleta poor advert!Marketing ni fani nyingine jamani.Kuna watu kazi yao ni kutengeneza matangazo lakini siyo hili tena linaloambatana na matusi na lugha za kebehi!Hujui biashara kabisa tena huna lugha nzuri.Nadhani nyie ndo wale mlikulia kariakoo shimoni.Not selective kabisa!
 
HILO MZEE UNALO..."NDOA YA KIKRISTO MKE MMOJA MME MMOJA"...zinabomolewa na reli ya town ubungo inaanza unauza road reserve....
 
nimeshajipima nakujifanyia evaluation ya kutosha sana!tatizo lako ni ubishi ambao hauna hata maana.kwanza umeleta poor advert!marketing ni fani nyingine jamani.kuna watu kazi yao ni kutengeneza matangazo lakini siyo hili tena linaloambatana na matusi na lugha za kebehi!hujui biashara kabisa tena huna lugha nzuri.nadhani nyie ndo wale mlikulia kariakoo shimoni.not selective kabisa!

mungu ibariki biashara ya mikono yangu na uiondoshe mikonon mwa hawa masheitwan
 
wewe mwenye nayo hyo mil 350 inunue mwenyewe hyo nyumba, na kama unawajua hao wenye mil 350 si uwatumie PM kuliko kuweka advert public ilhal unawajua hao wenye mil 350. Unashida halafu unaleta jeuri.? Ebooo.
sijui ni lini watu watajifunza namna bora ya kufanya biashara na kupromote bidhaa zao wanazoziuza.
mmenifurahisha sana natamani muendelee.
 
Nimeshajipima nakujifanyia evaluation ya kutosha sana!Tatizo lako ni ubishi ambao hauna hata maana.Kwanza umeleta poor advert!Marketing ni fani nyingine jamani.Kuna watu kazi yao ni kutengeneza matangazo lakini siyo hili tena linaloambatana na matusi na lugha za kebehi!Hujui biashara kabisa tena huna lugha nzuri.Nadhani nyie ndo wale mlikulia kariakoo shimoni.Not selective kabisa!

we unataka matangazo ya aina gani, au ai upload hapa fb ikiwa na picha ya mkeo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom