Nyumba/Vyumba Vinatakiwa...

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,032
3,944
Salamu WanaJF. Kuna MwanaJF mtarajiwa ambaye amepata uhamisho kutoka mikoani kuja jijini anatafuta Upande/Vyumba Vitatu ama nyumba nzima (kama bei sio maumivu sana!) maeneo ya kuanzia Kimara hadi Mbezi Mwisho na Viunga vyake. Anaomba Msaada. Budget yake ni Tshs Laki Moja hadi Laki Moja Unusu. Maongezi yapo kama Kitu ni Kizuri na gharama ni kubwa zaidi ya Budget aliyojiwekea. Akipata Kwa Miezi Sita kwake itakuwa nafuu Sana.
 
Habar nzuri mkuu.
Aluu cha muhim tafuta dalali wa eneo husika unless upate m2 dalali wa kujib hii thread yako ambae ni mwana jf.
Nilihangaika kupata nyumba na hawa madalal but nashkur nshapata sasa. Nliweka nami tangazo hapa jf ikawa haikusaidia; ndo maana nkakushaur km hapo juu.
Pili hawajamaa watakuzungusha kukuonesha nyumba na kila wakikupeleka kuona unawapa kuanzia buku 5.
Hii ni mizunguko inayochosha na inakua vizur anaetaka nyumba ndiye azunguke na dalali nikimaanisha jamaa yako inabid aje mwenyewe kufanya iyo kazi unless wewe una mda huo na utakchopenda wewe na yeye atapenda ndo unaweza msaidia kuzunguka huyo jamaa ako.
Ni ushaur 2.
Thanx
 
sure unless kuna madalali humu otherwise itasumbua kidogo
 
mimi najua Nyumba Ipo Kirumba Mwanza wasiliana na 0712449541

....teh teh, Mkuu sijui ni mzaha? Maana tangazo langu limetamka wazi kabisa kuwa jamaa yangu anahitaji vyumba KIMARA/MBEZI MWISHO halafu mkuu unazungumza habari za Kirumba? :)Anyway, Asante kwa Taarifa.
 
Habar nzuri mkuu.
Aluu cha muhim tafuta dalali wa eneo husika unless upate m2 dalali wa kujib hii thread yako ambae ni mwana jf.
Nilihangaika kupata nyumba na hawa madalal but nashkur nshapata sasa. Nliweka nami tangazo hapa jf ikawa haikusaidia; ndo maana nkakushaur km hapo juu.
Pili hawajamaa watakuzungusha kukuonesha nyumba na kila wakikupeleka kuona unawapa kuanzia buku 5.
Hii ni mizunguko inayochosha na inakua vizur anaetaka nyumba ndiye azunguke na dalali nikimaanisha jamaa yako inabid aje mwenyewe kufanya iyo kazi unless wewe una mda huo na utakchopenda wewe na yeye atapenda ndo unaweza msaidia kuzunguka huyo jamaa ako.
Ni ushaur 2.
Thanx

Mkuu, Ushauri wako umetulia. Nitaufanyia kazi huku nikiendelea kusubiri wanaFJ wengine kuchangia. Asante.
 
Back
Top Bottom