Nyumba tatu zinauzwa bei 85mil zipo Mwanza

Jul 18, 2012
69
25
Nyumba 3 zinauzwa Mwanza bei 85ml
contact: 0768900863

Ziko katika eneo moja mraba 40 kwa 40 ziko Mwanza nyuma ya kiwanda cha Coca-cola karibu na mnada wa Ng'ombe.

Nyumba kubwa ya kwanza ina vyumba vitatu kimoja ni master bedroom,stoo,jiko,public toilet kwa vyumba viwili na sebule.

Nyumba ndogo ya pili ina chumba kimoja ambacho ni master bedroom,jiko na stoo.

Nyumba ya tatu haijaisha.

Nyumba zipo karibu kabisa na barabara ya Musoma-Mwanza,huduma zote za kijamii zipo maji pamoja na umeme.

KIWANJA KINA HATI.


1459354550556.jpg


1459354561068.jpg


1459354582198.jpg


1459354597195.jpg


1459354664685.jpg


1459354686481.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom