Nyumba ndogo mwisho kuanzia leo

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Wanajamii nilikua nasema kwa mfano kuanzia leo wanaume Tukasema nyumba ndogo basi tunabaki na wake zetu tuu.itakuaje? Nikafikiria itakua ni kilio cha kusaga meno kwa wanawake kwa maana kazi itakua ngumu sana.
Au wadau mnasemaje kwa hili?
 
Wanajamii nilikua nasema kwa mfano kuanzia leo wanaume wakasema nyumba ndogo basi tunabaki na wake zetu tuu.itakuaje? Nikafikiria itakua ni kilio cha kusaga meno kwa wanawake kwa maana kazi itakua ngumu sana.
Au wadau mnasemaje kwa hili?
mbona kimya jamvini au maada imepitwa na wakati
 
Msaranga

Nyumba yako unayoiona ni kubwa ndiyo nyumba ndogo kwa mwenzio,kuwa mpole na fanya yako maana ukiamua kumfuatilia mkeo mwanzo mwisho utakufa siku moja hivyo mtizamo wako mimi naupinga 100% kwani nyumba ndogo ni dawa ya stress,...
 
Back
Top Bottom