Nyumba ndogo jamani

Tangu nachumbia mwanamke anajua kuwa napenda ngono sana. Tunaoana ananipa vizuri tu. Baada ya kuona sasa keshajikita ndani, anaanza kunibania na visingizio kibao mara ooh nimechoka, ati unataka kila siku nk. Wakati mwingine nikiomba najibiwa 'jana si nilikupa, unataka na leo tena?' Sasa mtu kama huyu anategemea nini, kwa nini nisiwe na nyumba ndogo? Haya yanayosemwa ya uchovu, watoto, kukosekana nafasi nyumbani ni visingizio tu. Mie nina nyumba ya kutosha na bed room yangu ina nafasi, na watoto wana vyumba vyao, nanyimwa kwa sababu gani? Namtoa outing tunatumia siku 4 hotelini, bado hata huko ananyima, hadi nikawaza ni pepo au ni nini? Hadi nimefikia kuamini kuwa hakuna ninachoweza kufanya ili mke wangu anipatie unyumba kama inavyopasa, angalao basi kama alivyokuwa ananipa alipokuwa anabembeleza kuolewa! Sasa hapo nisiwe na nyumba ndogo sababu gani?

Hapa sasa hivi mie sina nyumba ndogo, ni kwa sababu tu sijapata mwenye vigezo ninavyohitaji, lakini nikimpata na mimi nalianzisha!

eeeh hizi ndoa za kumbembelezeana nazo khaa! au alikuwa anabembeleza kivipi?

well said hapo nakubaliana na wewe kwamba kweli kuna baadhi ya wanawake wa aina hiyo kabisa, kwa vigezo hivyo hivyo uchovu, watoto nk, mie rafiki yangu alikosaga housegal home ikabidi ambebe mwanae arudi kwao kisa hana housegal,mamA yake alimshauri akamwambia hata mie ckuwatunza nyie hivi, nilikuwa sina msaidizi na niliwalea, leta mtoto wako asubuhi jioni njoo mchukue rudi kwa mumeo, ma frnd hakumuelewa *****, kisa aliona uvivu na mtoto asubuhi kumpitia jioni bora arudi kwao akimpata maid atarudi kwake, mwanaume yupo mwenyewe kila cku kumcal mkewe hata aje tu home kwa nusu saa mwanamke oohh ahhh, alipokuwa lonely mwanaume akatafuta nyumba ndogo ambayo mpaka kesho inamtesa ma frnd, ana mtoto 1 na nyumba ndogo na kajengewa kufungulia biznes nzuri na magari ya kifahari, ma frnd hana la kusema amebaki anaduwaaa tu coz man anaweza kupitisha hata wiki hajafika kwa mke wake wa ndoa, SO WAKATI MWINGINE CC WADADA/WAMAMA TUNASABABISHA YOTE HAYA.......
 
MMhhh.. wonders shall never end! Kumbe kuna matatizo genuine hapa!

unajua Shapu mtu akisema akae akuelezee matatizo yake ya ndani utachoka, mie nina kikundi cha wakina mama na kingine cha wakina dada, tukiwa kwenye kikundi hizo ishuz za nyumba kama mama/mdada anahitaji msaada fulani wa kikundi akielezea shida zake utasema kwangu kuna afadhali, niliolewa nikiwa bado kiumri but nahic ningekuwa bado nicngeolewa, ningetafuta maisha kivyangu na kid wangu mchezo uishe, maisha ya ndani wakati mwingine yana boa sana.
 
Lakini bado wapo wanaopenda maisha ya ndani. Nahisi kuwa kuna wanawake wasiofaa kuolewa, wanafaa tu kuzalishwa na kuachwa. Sasa mwanaume akikosea akachukua huyo ndio tayari 'imekula kwake'. Na pia wapo wanaofaa kuolewa lakini kwa bahati mbaya tu hawakupata mume. Huyo nikimkuta hata leo nitachukua tu kama nyumba ndogo, au hata kubwa kabisa. Kwa nini baadhi ya wanawake hawajiulizi inatokeaje yeye anamtesa mwanaume kwa kumnyima unyumba hadi anakuwa kama mwehu, na mwanaume huyo huyo anapata mwanamke mwingine (nyumba ndogo) anamfurahisha hadi bwana anampa kila kitu alicho nacho. Tofauti hapa ni mwanamke tu, yule wa kwanza alikuwa balaa hafai kuolewa, na huyu mnayemwita nyumba ndogo ndiye anaemfaa huyu bwana. Kwamba huyo nyumba kubwa alivamia pori lisilo lake ndio maana limemshinda. Au huyo bwana alikosea njia pale mwanzoni, na hapa kwa nyumba ndogo ndio amepatia. Ndio maana nakubaliana na waislamu kwenye suala la talaka. Ndoa isiyoruhusu talaka ni mateso tu, ukikosea pale mwanzoni tu basi unaadhibika maisha yako yote!
 
Anyways, mimi nina amini kabisa kwamba pia kuna wanawake wengi wanamatatizo na waume zao juu ya unyumba lakini hawana options. They just decide to live with it na wanavumilia. Mjadala huu umebase sana kwamba wenye matatizo ni wanawake lakini nadhani wanaume huenda wakawa ndo na tatizo kubwa sana. Nimeona jamaa analalamika kwamba mkewe anataka kila siku, while jamaa yeye anaweza only once or twice a week. Hapo by itself is the big big problem. To me i believe sex is one of the major thing in marriage, mambo ingine ni matokeo tu. If you cant satisfy each other on sex, lazima tu mparaganyiko. So I suggest, watu wakae pamoja kwa muda wajuane, kama mmoja anaweza mapigo ya kila siku mwingine hawezi then wajue wataishije au waachane. Otherwise it is complicated both ways!
 
du cjui niseme nini ma dia.

pia nyumba ndogo inachangia kwa asilimia100% kuharibu ndoa na mke wako kipenzi, unakuta unaenda sawa kabisa na mke hapo nyumbani but tamaa za nyumba ndogo zikikuingia ndio balaa linapoanzia kuiyumbisha ndoa! yalinikuta hayo mie, unakutana na mwanamke aliyopo kimaslahi zaidi hapo ndipo kasheshe linapoanzia, na kuna wale wadada hata kama ana date na mume wa mtu but kampenda tu kama mtu mwingine anavyoweza kupendwa kwani kuoa/kuolewa haimaanishi kwamba mtu ndio asipende tena, ukikutana na huyo anakuwa na ushauri mzuri sana kwako, ma coleague alifiwa na mke wake baada ya muda mfupi kavuta nyumba ndogo yake aliyokuwa nayo kwa muda mrefu sana bila bi mkubwa kujua mpaka mauti ilipomkuta, heshima ilikuwa mbele! wapo wanaishi maisha mazuri tu...mie kwangu ni 50-50 kila mtu ana sababu zake za kuwa na nyumba ndogo so ni mtokaji mwenyewe ndio mwenye ukweli.
 
Hata ndo yake ingekuwa ina miaka 75 kwa nini unamshauri mwenzio aende motoni. Ushindwe na ulegee tena miguu na akili inakusababisha ushauri watu vifo.
 
My name is Lyato. I am an ardent lover of Jamiiforums. I have learnt a lot by going through your intelligent contributions, that is to say from various subscribers including you. Although, this might not be the beginning of enjoying your forums, however it might not as well be the end, either. Let me not waste time, let me proceed reading what is already posted on the board. -Lyato
 
Anyways, mimi nina amini kabisa kwamba pia kuna wanawake wengi wanamatatizo na waume zao juu ya unyumba lakini hawana options. They just decide to live with it na wanavumilia. Mjadala huu umebase sana kwamba wenye matatizo ni wanawake lakini nadhani wanaume huenda wakawa ndo na tatizo kubwa sana. Nimeona jamaa analalamika kwamba mkewe anataka kila siku, while jamaa yeye anaweza only once or twice a week. Hapo by itself is the big big problem. To me i believe sex is one of the major thing in marriage, mambo ingine ni matokeo tu. If you cant satisfy each other on sex, lazima tu mparaganyiko. So I suggest, watu wakae pamoja kwa muda wajuane, kama mmoja anaweza mapigo ya kila siku mwingine hawezi then wajue wataishije au waachane. Otherwise it is complicated both ways!

kwa hapo MTU anasema wake walienda sawa mpaka akamuingiza ndani, ina maana walipokuwa bado kuoana mke wake alikuwa anacheza kwa step haswaaa baada ya kuingia ndoa basi ikawa tabu, so mnaweza kujua hata kwa miaka 10 but mabadiliko yanatokea kwa dk chache tu...

hilo la wanawake kuwa na matatizo na unyumba nadhani ni uoga wa kuwaelewesha na ma patner zetu tunahitaji nini linapokuja suala la sex...kuwa free na mumeo/mpenzio ndio wako huyo sasa usipokuwa nae free kitandani utakuwa free na nani? ni suala la kuondoa uoga mwambie nifanyie hivi nifanyie kile tufanye hivi au vile, kuulizana umejulia/umeona wapi ni mambo yaliyopitwa na wakati.
 
Nyumba ndogo is not a solution, kutunza nyumba yenye upendo na maelewano. Ni kweli alibembeleza ili aolewe. Lakini, miili yetu hubadilika, yale uliyoweza jana huwezi leo. Pia, majukumu ambayo mwanamke anayo. Wakati mkiwa wachumba, majukumu mazito hayakuwepo, hakuwaza ni jinsi gani apange huduma za nyumbani, huduma kwa watoto nakadhalika. Kwa hiyo ni vema ukazungumza na mpenzi wako ni kwa namna gani mnaweza kutimilizana ki-unyumba pasipo kunung'unikiana.
 
My name is Lyato. I am an ardent lover of Jamiiforums. I have learnt a lot by going through your intelligent contributions, that is to say from various subscribers including you. Although, this might not be the beginning of enjoying your forums, however it might not as well be the end, either. Let me not waste time, let me proceed reading what is already posted on the board. -Lyato
Karibu...ama kuna kona rasmi ya kujitambulisha humu humu JF...tena kwa mapana na marefu! Karibu sana.
 
.....unyumba nadhani ni uoga wa kuwaelewesha na ma patner zetu tunahitaji nini linapokuja suala la sex...kuwa free na mumeo/mpenzio ndio wako huyo sasa usipokuwa nae free kitandani utakuwa free na nani? ni suala la kuondoa uoga mwambie nifanyie hivi nifanyie kile tufanye hivi au vile, kuulizana umejulia/umeona wapi ni mambo yaliyopitwa na wakati.

Mhh, Nyamayao,
Kuna jamaa kasema hapo awali kuwa yeye alishmwmbia anataka unyumba kila say siku, mwnadada hataki anataka says once a week. Jamaa kesha onge naye saana hajatia woga hapo. It is now coming to the question ya maumbile pengine. So i dont think ni suala la woga. It is another case mapigo yametofautiana. It is like putting a tractor engine to a corrollar limited. So kwa case kama hiyo jianaume linahitaji kurelease oil chafu mwanamke hayuko tayari, so nyumba ndogo inakuwa the best option.
 
Woooow
Watu wanasema,,,, watu wanaongea,,,,
Nyumba ndogo,,,,nyumba ndogo zinasababishwa na pande zote mbili, yaani mke na mume. mlipokuwa ma BF na GF hamkuwekana bayana kuhusu unayoyapenda na usiyoyapenda. Inapotokea mkaoana na hamkuwa mnajuana angle zenu basi ni tabu tupu.
Kuna watu wanapenda aina fulani ya mapenzi. Wengine wanataka vidole viwepo masikioni nk,,,nk,,, Kama hatopata hivyo anavyovitamani basi atatafuta yule awezaye kufanya hivyo. Mme/ke wote wakikosa wanakuwa na hawa wanaoweza kuwafikisha watakapo.
Pili kuna watu ambao ni onja onja tu,,,,sketi haikatizi wao wanataka tu,,, mtoto wa shule haya,,, mfanyakazi wa baa haya,,,, mke wa mtu haya twende,,, Wanaitwa akina Fataki hao. Kuna akina mama nao wanatamani vijana wadogo. Hii ni tabia yao.
Tatu kuna wafanyao kwa msongo wa mawazo yasababishwayo na mke au mme. Kunapokuwa na maugomvi yasiyoisha katika ndoa ni wazi kuwa kuna mmoja anaweza kuwa tempted kufanya/kuwa na nyumba ndogo. Mtu wa aina hii aonjapo haachi kamwe. Mbaya zaidi hii nyumba ndogo ikigundua kuwa ni kwa nini uliamua kuwa naye basi anacheza turufu yake. By the time you come to realize its too late.
Hata hivyo nyumba ndogo nazo zikiwekwa jumla ndani nazo hujikuta zinafanya kosa lile lile la kuwa loose. Hii inasababishwa na kuwa na kiburi kuwa sasa niko ndani atanambia nini, na bahati nzuri akishakuwa na mtoto basi, huhamisha mapenzi yote kwa mtoto huyu mchanga na kumsahau yule mtoto wa kwanza (mume). Wanaume wengi wanadeka sana,, wanataka wabembelezwe wachukuliwe kama watoto wadogo,,, waengweengwe! Inapotokea mwanamke akabadilika tu hawana subra wanachota nyumba ndogo,,, na mara nyingi huwa wafanyakazi wenzake ama mtu aliyekaribu zqaidi naye,,,, usijeshangaa akawa house girl ndiye nyumba ndogo.
Ni mawazo yangu tu!
 
Eish, huku bondeni bwana basi wanawake ndo wameshajitawala bwana kama ulivyosema chamtu'! utawala binafsi na usiwe na wivu na inabidi utoe taarifa in advance unaporudi safari or if u work apart from each other whenever u go back or visit ur partner!!
 
Mimi kuna wakati nilishamtamani sana housegirl wangu kutokana na alivyokuwa anaonekana na uongeaji wake. Sikuwahi kuthubutu kumwambia kwa sababu nilikuwa nachunga sana heshima yangu, alikuwa ananiheshimu sana. Lakini kila nikimwangalia machoni nilikuwa nahisi kama vile naye pia alikuwa ananitamani (sijui kwa nini, hisia zangu tu). Kipindi hicho mke wangu alikuwa amepitisha mwezi mzima hataki nimguse popote japo tulikuwa tunalala kitanda kimoja tena akiwa uchi kabisa, anapenda kulala uchi mke wangu. Mimi nilikuwa nahesabu kuwa ni unyanyasaji wa kijinsia, yaani mwanamke analala na mimi uchi, tena ana mapaja na tukunyema nzuri mno nikigusana nae moyo unanienda mbio, lakini jibu lake ni moja tu, 'niache bwana nimechoka!' Ndipo nilipoanza tabia mpya ya kukesha sebuleni nikiangalia movie (ingawa chumbani pia ipo), ili nitakapozidiwa na usingizi ndipo niingie chumbani kulala ambapo humkuta mwenzangu kalala fofofo. Halafu sijui ana nini, hata katika hali hiyo ya usingizi nikijaribu kumgusa sehemu zake zile ninazojua za ashki, hushtuka usingizini na kuanza kugomba hadi najuta kwa nini nilimgusa, halafu nakasirika vibaya!

Wakati huo nilipokuwa nikimpenda na kumtamani huyo housegirl ambaye hata hivyo sikumwambia, hiyo ndiyo hali nilikuwa nayo, yaani ni tension ya ajabu! Kuna siku nilisikia kwa rafiki zangu kuwa pombe huwa inapunguza hamu ya ngono, basi nikawa nakuja nyumbani na chupa za pombe nazinywa kabla ya kwenda kulala ili nisimsumbue mwenzangu na kitu ambacho hapendi. Kweli ile hamu ilikuwa inapungua na nilipata usingizi mzuri, lakini kesho yake nilikuwa naumwa kichwa, na nikienda ofisini nilikuwa najihisi mchovu na kusinzia ovyo! Nikaacha tena ile pombe.

Najaribu kufikiri iwapo yule housegirl niliyempenda angechukua hatua kidogo tu hata ya uchokozi, nadhani nisingeweza kujizuia hata kidogo.

Shida yangu kwa nini sipati nyumba ndogo hata sasa ingawa nataka ni kwamba kwanza mwenyewe naona aibu kuanzisha hii mada na wanawake, hasa wanaojua nimeoa, na tena wanaamini nina uhusiano mzuri sana na mke wangu. Siku moja nilithubutu kuomba penzi kwa mfanyakazi mwenzangu mmoja ambaye ni single na tulikuwa tumezoeana vizuri sana hadi nikajihisi tuna ukaribu wa kutosha kusema hiyo kitu. Alinisikiliza vizuri akaniomba tuonane jioni anipe jibu, nikajua hapa napata. Tulipokutana hapo mahali penye chai, mbona alinishangaza, alinipasha kama mtoto mdogo, kwamba hakutegemea mtu ninayeonekana nina busara kama hivi naweza kumjaribu kwa jambo la haramu kama hilo! Sijathubutu kumjaribu mwingine.

Sababu nyingine nadhani naonekana 'mnoko' fulani, yaani hata utani wa kawaida tu wanawake huwa hawaniambii (ingawa kabla sijaoa nilikuwa na wasichana wengi sana tuliokuwa tunazungumza mambo ya masikhara!).

Kama hamjui kuna kutingwa vibaya, basi hayajawakuta, yaani nina mambo mengi mno kichwani humu.
 
Mtu B, nimekuelewa na pole kwa yaliyokusibu, ila pia hongera kwa ujasiri wako. Naomba unendelee na uzi huo huo.
 
pole sana ma dia! du nashindwa hata nisemeje.
 
...
Tatu kuna wafanyao kwa msongo wa mawazo yasababishwayo na mke au mme. Kunapokuwa na maugomvi yasiyoisha katika ndoa ni wazi kuwa kuna mmoja anaweza kuwa tempted kufanya/kuwa na nyumba ndogo. ...
, usijeshangaa akawa house girl ndiye nyumba ndogo.
Ni mawazo yangu tu!

Mimi kuna wakati nilishamtamani sana housegirl wangu kutokana na alivyokuwa anaonekana na uongeaji wake. Sikuwahi kuthubutu kumwambia kwa sababu nilikuwa nachunga sana heshima yangu, alikuwa ananiheshimu sana. Lakini kila nikimwangalia machoni nilikuwa nahisi kama vile naye pia alikuwa ananitamani (sijui kwa nini, hisia zangu tu).

...nilipokuwa nikimpenda na kumtamani huyo housegirl ambaye hata hivyo sikumwambia, hiyo ndiyo hali nilikuwa nayo, yaani ni tension ya ajabu!

Najaribu kufikiri iwapo yule housegirl niliyempenda angechukua hatua kidogo tu hata ya uchokozi, nadhani nisingeweza kujizuia hata kidogo.

Kama hamjui kuna kutingwa vibaya, basi hayajawakuta, yaani nina mambo mengi mno kichwani humu.

...Mkubwa yaonekana huyo house girl naye anakusongesha mno mawazo, "jisevie" tu huyo mkubwa, ..." a bird in hand worth two in a bush!" :( ...yanini kufa na tai yako shingoni?, ...hala hala tu lakini usije mbaka kwa mfadhaiko ...yataka makubaliano tu!
 
Back
Top Bottom