Nyumba ndogo inanichanganya

Kwakweli haka kabinti ni kazuri sana na nimekuwa nako kama mwaka sasa.
Sasa hivi kananiambia kamepata mchumba kwani nami pia nina mke. Uroda kanaendelea kunipa ila ikifika jumamosi sikaoni tena eti kanakwenda kwa faience wake.

Ofcoz inauma ila shida yangu ni moja how can I justify kwamba alikuwa kweli kwa huyo fiancee wake alikuwa tena anapiga kazi za nje? Nikitakaga kukatema kanabembeleza kweliiiiiiiiiiiiii mpaka namwonea huruma.

Please JF advise how can I go about it?
Unaonaje wivu wakati anapokwenda kwa fiancee wake na wewe unakwenda kwa mke wako?
 
Sasa ushauriwe non wakat jibu unalo?!acha umalaya na sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom