Nyumba na chumba inapangishwa maeneo ya survei

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Kuna chumba kimoja self contained maeneo ya surve,i dk kama 4 hivi toka mlimani city, pia kuna nyumba ya vyumba viwili sebule, jiko na toilet maeneo hayo ya savei. Kwa upande wa nyumba bei ni shilingi 250,000/= kwa mwezi na unaweza lipa kwa mwaka au miezi sita, hakuna dalali kwa nyumba zote mbili. Chumba ni shiling elfu 80 kwa kila mwezi na unalipa kwa mwaka. Atakayechkua nyumba anatakiwa kunipa angalau wik mbili nimfanyie marekebisho madogo. Kwa upande wa chumba kipo . Karibuni. 0755063076
 
maji, umeme inakuwaje? vipi available? maana nasikia eneo la survey lina shida sana ya maji!!
 
Back
Top Bottom