Nyumba mpya za serikali

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
Wana jamii

Hivi ni kweli nyumba mpya za serikali zilizojengwa wakati wa awamu ya Tatu,kule Masaki,mikocheni karibu na usalama na kule mikocheni viwandani kuna baadhi wameuziwa viongozi ambao hawakuendelea na madaraka aidha kwa kustaafu au kukosa ubunge?, hebu tuliangalie hili!
 
Kujuana kujuana kujuana! serikali yetu inaenda kama genge fulani ambalo halina muda na watu wengine. Si ajabu utasikia hata migodi imegawiwa kwa viongozi.
 
Back
Top Bottom