Nyumba mbovu inauzwa kinondoni shama

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Nyumba hii inakiwanja kikubwa na gari inafika , mnunuzi atabomoa na kujenga nyumba hata ya vyumba 3 na akabakiwa na eneo la kujenga geti, ni mbovu na chakavu. weka picha kichwani ya nyumba mbovu za Dar .

Kinondoni shamba ni nyumba ya makao makuu ya waislam (Bakwata) au kinondoni makaburini, kutoka hapo ni rahisi kwenda kila pande ya jijj. nipigie tuongee 0657 14 5555, 0755 099 291, na 0686 200 117 , pamoja na uchakavu weke nyumba hii ina vyumba 11 ambavyo vyote vimepangishwa bei yake ni 35m masungumzo yapo
 
Mkuu habari yako haieleweki kabisaa, mara unasema nyumba ina vyumba 11 na vyote vimepangishwa, mara mnunuzi anaweza kubomoa akajenga nyumba ya vyumba 3. Ina maana hivyo vyumba 11 vilivyopo vina ukubwa gani kila kimoja? Bado tena unatuchangaya kwa kusema ni 'nyumba ya makao makuu ya bakwata". Ina maana hao wapangaji wanaishi humo makao makuu ya bakwata?
 
WIZI mtupu...nyumba chakavu dar wanaishi watu tena? na wanalipakodi? tena kinondoni? hiyo itakuwa ya urithi ina utata..
 
Nyumba hii inakiwanja kikubwa na gari inafika , mnunuzi atabomoa na kujenga nyumba hata ya vyumba 3 na akabakiwa na eneo la kujenga geti, ni mbovu na chakavu. weka picha kichwani ya nyumba mbovu za Dar .

Kinondoni shamba ni nyumba ya makao makuu ya waislam (Bakwata) au kinondoni makaburini, kutoka hapo ni rahisi kwenda kila pande ya jijj. nipigie tuongee 0657 14 5555, 0755 099 291, na 0686 200 117 , pamoja na uchakavu weke nyumba hii ina vyumba 11 ambavyo vyote vimepangishwa bei yake ni 35m masungumzo yapo

waislam (Bakwata), hawatamtembezea bakora atakea inunua?
 
HAPO PANA BOMBA LA MAJI TAKA LIMEPITA NA NYUMBA ZOTE ZILIZOJENGWA ZITABOMOLEWA SIKU MOJA........IKIWEMO hugo house
 
Ok,
Nafikiri ulimaanisha NYUMA ya BAKWATA.

Kama ndivyo ntakua naifaham, nlionyeshwa juzi, Na ni kama 300Mtr kutoka Kinondoni Road ukikatiza pale uwanjani.

Kama ndio, basi waambie wenyewe nina 20Mil tu.
 
Mkuu habari yako haieleweki kabisaa, mara unasema nyumba ina vyumba 11 na vyote vimepangishwa, mara mnunuzi anaweza kubomoa akajenga nyumba ya vyumba 3. Ina maana hivyo vyumba 11 vilivyopo vina ukubwa gani kila kimoja? Bado tena unatuchangaya kwa kusema ni 'nyumba ya makao makuu ya bakwata". Ina maana hao wapangaji wanaishi humo makao makuu ya bakwata?
samahani kwa kutokueleweka , nyumba hizi ndugu ni magufu ni yale majumba ya makuti na udongo, hapo juu ni makosa ya uandishi nina maana nyuma ya bakwata, pamoja na uchavu wake wako watanzania wenye kipato duni wanaishi . natumai umenielewa
 
Ok,
Nafikiri ulimaanisha NYUMA ya BAKWATA.

Kama ndivyo ntakua naifaham, nlionyeshwa juzi, Na ni kama 300Mtr kutoka Kinondoni Road ukikatiza pale uwanjani.

Kama ndio, basi waambie wenyewe nina 20Mil tu.

Asante kwa kunielewa mkuu, jana pia nimempeleka m2 akaone naye ana 20 , sasa ongeza 5 au nipigie tuongee 0657 14 5555
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom