Nyumba mbili na kiwanja zinauzwa kwa pamoja. Bei sawa na bure.

5347971_0d63564750_m.jpeg

mkuu unaharibu, nyumba haipo mazingira ya hivyo.
 
Zipo ndani ya fensi moja, nyumba moja ni kubwa na nyingine ni ndogo. Kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine. Ipo tabata mawenzi karibu na shule ya sekondari ya kamene. Bei ni milioni mia mbili hamsini tu. Kwa maelezo zaidi nipm. Madalali hawaitajiki. Ahsnte.
UPDATE;
Bei imeshushwa hadi 150million

Dada habari za Mpwapwa? Nimepamisi sana, tangu nimalize Form Four hapo Mpwapwa Sec miaka 20 iliyopita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom