Nyumba inauzwa

lubazi

Senior Member
Sep 27, 2010
135
30
NYUMBA NA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA EKA 1 VINAUZWA MAENEO YA MBEZI BEACH KARIBU NA SHULE YA GREEN ACRE .
ENEO LINA USALAMA WA KUTOSHA.
KWA WANAOHITAJI NITUMIE EMAIL UNITAJIE NAMBA YAKO YA SIMU NITAKUTAFUTA.

EMAIL YANGU: lubaziemmanuel@yahoo.com
 
Weka picha yake hapa ili tuone!! Pia weka details za kutosha, je kiwanja kina hati au laa? Biashara hujiuza kwa matangazo mazuri broo.
 
Ndugu:

Ni vema ukaweke ukubwa wa kiwanja, bei yake, kama kina hati, umabli toka barabara kuu nk

Ili utafutwe na wachache!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom