Nyumba inauzwa

Joel

JF-Expert Member
Sep 1, 2007
1,030
558
Nyumba inauzwa mil 25. Ina vyumba 3, choo na bafu, store, kitchen, dinning, sitting na eneo nje kubwa hata la kujenga nyumba nyingine.
Nyumba ipo kimara mwisho ghorofani (barabara inayoelekea bonyokwa)
 
NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
Nikikuletea mteja me nakula ngapi?
 
kawe kuna nyumba zipo mbili kwa moja zote self parking ipo ipo karibu na barabara bei 300 m maongezi yapo kamisheni ipo,kama unamtu ni pm,

Ntakutafuta...watu kibao wapo wanataka nyumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom