Nyumba inauzwa

Hiyo nyumba mazee huwezi hata kufika na Bajaj! ungeniwekea mshiko ungesimulia hahahaah

Ombea mungu tu kuwa ROBOT ana hekima zake za huruma sana. ingekuwa mimi ningekuweka kapuni siku mbili au wiki kwa kutaabisha akili za watu hapa jamvini.
Watu tupo sirias na nyumba kumbe unatuzingua.
mwone kwanza
 
Nimeweka picha haumuioni?

4356d1240316911-nyumba-inauzwa-image001.jpg

Masanilo ushindwe na ulegee kwa jina la shetani.Big up kwa kunivunja mbavu.
 
Masanilo!
Nilipoona tangazo lako nikasema nikutumie PM,nilijua ulikuwa serious! He, mara naona swimming pul ya mvua nimechoka kwakweli..
 
Ana dalili ya kifisadi
i mean kutokuwa mkweli huyu
apigwe mawe

Yakhe chonde bado sijaowa mwenzio nina watoto 3 wa kusingiziwa kwa wamama 3 tofauti tu sasa nikipigwa mawe utaleta shida
 
Mshikaji unaiongelea nyumba gani??
Sio ile tuliyowahi kunadiwa hapa na ndugu yangu ndukulukudusucho akainunua kwa kutoa down payment ya 25% na kiasi kilichosalia alikimalizia kabla ya wiki 2.
Ukiitangaza tena utakuwa unataka kuwatapeli ndugu wadau
 
Back
Top Bottom