Nyumba inauzwa

Kimong'onyole

Member
Dec 2, 2011
13
31
Iko Mikocheni "A" mtaa wa kimong'onyole,karibu na Makumbusho.Pia ni eneo zuri kwa kujenga gorofa la kibiashara.Bei ni Milioni 400. Kwa mawasiliano piga 0784333301 au 0718130436
 
mkuu ni nyumba au kiwanja?maana umesema nyumba kisha ukasema ni eneo zuri kwa kujenga gorofa,hapo ndo umenichanganya weka picha basi kama ni nyumba kwani bro wangu anataka sana nyumba
 
NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom