tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
WASALAAM,nyumba ya kisasa inauzwa tabata misewe.Nyumba hii ina;HATI,master room moja,vyumba vya kawaida viwili,sebule,dinning,store pia ni self container vilevile ina frame ya duka.Bei yake ni tshs.40 milion bei yaweza kupungua.MAWASILIANO 0715404808,0786404808 au 0767404808.