Jimmy2012
Member
- May 18, 2012
- 28
- 3
NYUMBA INAUZWA TSH. MILIONI 20.
Nyumba yenye vyumba 3 pamoja na self - master bedroom,dinning and sitting rooms, store room na choo cha ndani. Pia ina uwanja waziada kwa ajili ya ujenzi au mifugo. Nyumba inahitaji umaliziaji (finishing)ingawa kuna watu wanaishi kutunza usalama. Nyumba ipo Chanika (wilaya ya Ilala)kituo cha Magengeni karibu na Shule ya Msingi Buyuni, dakika 10 toka barabarakuu. Wateja wa kweli wapige simu namba 0713291455 au 0767844192. Maelewanoyapo.