Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Ipo karibu na Canossa Primary and secondary school. Ina vyumba vinne vya kulala viwili vikiwa self contained. Ina jiko, dinning na sitting room. Ina uzio. Ni nyumba nzuri ya kisasa inafaa kuishi familia moja. Bei yake ni shilingi 250mil. Ikiwa unahitaji kuiona piga simu 0717114409 kuweka appointment.