Nyumba inauzwa---tabata segerea--dar es salaam

Jan 6, 2012
31
4
Nauza nyumba, ipo tabata segerea-Dar es salaam karibu na nyumba mpya za maafisa magereza za segerea. Nyumba ni mpya kama inavyoonekana kwenye picha.

Nyumba ina sifa zifuatazo:

3 bedroom including master bedroom, sitting room, dining room, kitchen, store, public toilet etc.
It has enough space for car parking ( up to 8 cars) na nafasi kubwa ya kujenga hata mabanda ya mifugo au kufanyia mambo mengine.

PRICE: 200,000,000 Tsh. (Hii ni nyumba yangu, mimi sio dalali)

Contacts: Mr. Mchomvu: 0755 549 304 or 0715 549 304 or amchomvu@hotmail.com
 
Attachments

  • SAM_0320.JPG
    SAM_0320.JPG
    870.5 KB · Views: 139
  • SAM_0319.JPG
    SAM_0319.JPG
    876.2 KB · Views: 258
  • SAM_0321.JPG
    SAM_0321.JPG
    1.1 MB · Views: 157
  • SAM_0323.JPG
    SAM_0323.JPG
    1.3 MB · Views: 127
  • SAM_0325.JPG
    SAM_0325.JPG
    757.7 KB · Views: 135
duh, ngoja waje wenye pyesa.

Bishanga, njoo uninunulia nyumba basi.
 
Last edited by a moderator:
Hadi nimetetemeka, hili bado gofu kabisa
Sasa finishing hapo??
Bishanga, siitaki tena hii nyumba, saa ile attachment zilikataa kufunguka

Kweli pesa ya bongo imekwisha. Yaani nyumba inayopaswa kuwa shilingi kama 30,000,000 sasa ni 200,000,000! Tunakwenda wapi yarabi?
 
Last edited by a moderator:
duh, ngoja waje wenye pyesa.

Bishanga, njoo uninunulia nyumba basi.
Ww hadhi yako sio ya kukaa Segerea kwan ww ni Mahabusu ukae karibu na askari Magereza?Bishanga akishindwa kukununulia mm nitakununulia Mbezi Beach usikonde.
 
Last edited by a moderator:
Mhandisi wa Umeme nyumba hiyo kiukweli unaiuza bei ghali sana;
Hebu cheki mchanganuo huu unaweza kugundua,

  1. Bei ya Kiwanja kwa bei ya kulanguliwa Tshs 30,000,000.00
  2. Ujenzi wa Msingi (Zege kwenye Msingi na Kiuno chake) Tshs 5,000,000.00
  3. Matofali (Kwa kufyatua mwenyewe ratio 35/bag) Tshs 6,000,000.00
  4. Gharama ya Fundi kujenga tokea kwenye Kiuno Tshs 3,000,000.00
  5. Gharama ya kuezeka (Hiyo Bati siyo Original South) Tshs 7,000,000.00
  6. Others Miscellaneous Costs Tshs 4,000,000.00
TOTAL Tshs 55,000,000.00

Kwa mantiki hiyo hiyo nyumba unaiuza bei ya ghari mno. Hapo bado huyo atakyenunua aje afanye finishing mwenyewe.
Halafu hujasema kama kiwanja kimepimwa au laaah.

Hapo kwa makadirio hayo nimekupendelea sana lakini yanaweza kuwa chini ya hapo hasa bei ya kiwanja na kushusha gharama ya nyumba hiyo zaidi.
 
kweli kupitia jf akili za wengi zinaweza kubadilishwa na kurudia uhalisia wa maisha!
 
Tatizo ni pesa chafu yaufisadi imeingia mitaani sasa kila mtu anasema lake..
 
he is not serious labda kama alikuwa anamaanisha mil 20, na sio mil 200, unajua n imerudia tarakim karibu mara saba nikidhani labda nakosea...na hiyo nyumba ni kama nahifahamu hivi mahali iliko ngoja nipite niione tena ...lol, lakini hata mil 40 huuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom