Nyumba inauzwa--tabata segerea-dar es salaam

Jan 6, 2012
31
4
Habari wana jamii,

Nyumba inauzwa yenye sifa zifuatazo:
3 bed room including Master bedroom, sitting room,dining room,kitchen, public toilet,store etc. Also the site has enough space for car parking (up to 5 car) 25m2.
Kiwanja kipo maeneo ya juu. Nyumba bado ni mpya haijahamiwa.




Kwa maelezo zaidi:

Contacts:Mr. Mchomvu: 0755 549 304 or 0715 549 304 or email: amchomvu@hotmail.com
 
Mbona picha wala bei ya nyumba havitolewi ili wanaojipanga kununua tuanze kukutwangia? Weka vitu hivyo haraka ili uone tutakavyochangamka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom